Kiswahili kina kupa taabu kukiandika vipi kujieleza. Mkuu elimika!Miaka yote hiyo ufundishe na usome ..ushindwe kuongea basic ngeli...weusi tunajazana upimbi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili kina kupa taabu kukiandika vipi kujieleza. Mkuu elimika!Miaka yote hiyo ufundishe na usome ..ushindwe kuongea basic ngeli...weusi tunajazana upimbi sana
Dah....viingereza vipo vingi Sana.na Ni tofauti tofauti....kipo cha uingereza...Cha Marekani...India...Jamaika....Naijeria.....nk....msiojua hicho ndicho kiingereza cha kitanzania....[emoji2960]Hujaelimika! Ukielimika utajua mkuu!
Hujaona shida ya alivyoongea Ndalichako kwa vile na wewe ni hujui kama Ndalichako. Hatumlaumu kwa lafidhi bali kwa direct translation na broken grammar.kwamba mlitaka aongee kama anakunywa maji, sema lafudhi zetu za makabila zinafanya kiingereza kutoteleza kwenye ulimi. sijaona shida sana hapo
Unaona sasa unafikiri ukiwa unaongea lazima ufuate grammar? Kweli hujaelimika nafikiri ukielimika utajua kuwa lugha ya kuongea hawafuati grammar mkuu kama unavyofundishwa darasaniHujaona shida ya alivyoongea Ndalichako kwa vile na wewe ni hujui kama Ndalichako. Hatumlaumu kwa lafidhi bali kwa direct translation na broken grammar.
Nini kusoma Canada? Mbona nchi za USA na Canada ndiyo zinaongoza duniani kwa Diploma Mills zile alizozitaja Msemakweli kwenye kitabu chake cha Degree fake. Hakuna Mtanzania aliyewahi kwenda USA au Canada aka disco. Ukienda Canada utarudi na degree tu. Huyu ni zao la degree za chupi za UDSM.
Dah...unajua aliogea kiingereza cha wapi lakini?[emoji2960]Waziri wa "elimu" ambaye hajui hata tofauti kati ya "you will be locked up" na "you will go inside" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tumcheke tena sana. Philip Mulugo mwaka 2009 akiwa Naibu Waziri wa Elimu aliwahi kutoa mada nje ya nchi na alisemwa sana. Angalao unaweza ukamsamehe Mulugo kwa vile alikuwa ni Naibu Waziri mwenye vyeti feki.Kuna ajabu gani hapo sasa? Wabongo kwakujishongondoa tu hatujambo, utasikia mtu anamsifia mzungu anaeboronga kiswahili huku akimcheka mbongo mwenzie abaeboronga kiingereza, amaa kweli utumwa bado tunao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dah...unajua aliogea kiingereza cha wapi lakini?[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Hapimwi kwa kuongea kiingereza!Lazima tumcheke tena sana. Philip Mulugo mwaka 2009 akiwa Naibu Waziri wa Elimu aliwahi kutoa mada nje ya nchi na alisemwa sana. Angalao unaweza ukamsamehe Mulugo kwa vile alikuwa ni Naibu Waziri mwenye vyeti feki.
Huyu ambaye ni full Minister na ni Professor mwenye PhD anashindwa ku compose sentensi mbili nyepesi, ni aibu kwa Taifa. Yswezekana naye ana vyeti feki
Alikuwa anasimamia vipi kutetea tafiti zake? Nani atakupa marks kwa broken hiyo?Kwa hiyo unamaanisha waliosoma Canada na USA ni less competent kuliko waliosoma Bongo?
Mbona kuna maprof kutoka Asia wanaongea kiingereza kibovu tu, na wanafundisha nchi za magharibi.
Mama hayupo fluent kwenye English, lakini hiyo sio sababu ya kusema elimu yake ina walakini.
Tena mama mwenyewe kasoma mathematics, hata research papers za mathematics na statistics hazina mbwembwe nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe hujui Kiingereza kama Ndalichako? Utakesha kutetea na kichwa kitakuuma, andaa Panadol tu. Hatulali leo.Kwani elimu ni kujua kiingereza? Unafikiri kujua Kiingereza ndiyo kuelimika mkuu? Unasumbuliwa na utumwa wa akili siku ukielimika utajitambua!
Anapimwa kwa kuvaa helmet kinyume na kutema mimate anapoongea. NimekuelewaHapimwi kwa kuongea kiingereza!
Hajui na haweziKwani profesa hajui kiingereza au hawezi kuongea vizuri kiingereza?
Ni wazi mkuu isingewezekana kufika hapo kielimu pasina kuelewa lugha anayofundishiwa. Haya matatizo ya kushindwa kuongea vizuri kiingereza yapo na yana sababu zake lakini sio kutilia mashaka elimu ya mtu sababu tu hawezi kuongea vizuri kiingereza.Hapo ndio mashaka yanapoanzia mkuu.
Sasa amewezaje kusoma hadi kiwango hicho cha elimu pasina kujua lugha anayofundishiwa? Au ndio utasema alikuwa anakariri?Hajui na hawezi
Hivi kipimo cha mtu kujua lugha ni kipi? Yani ni vigezo gani vinatumika hadi kusema fulani anajua lugha?Kwa hiyo na wewe hujui Kiingereza kama Ndalichako? Utakesha kutetea na kichwa kitakuuma, andaa Panadol tu. Hatulali leo.
Kama kujua Kiingereza siyo Elimu, kwa nini medium of instruction ya Tanzania kuanzia Form 1 to University level ni English? Kwa nini tunasoma kama somo kwenye Primary to O-Level?
And lastly kwa nini Ndalichako mwenyewe aliamua kujibu kwa Kiingereza? Si alidhani anakuja?
Acheni kutetea udhaifu na ujinga