fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
diamond is just a mineral that are extracted from the deep down of ground...thats what i know refered to ur questionWhat is Diamond?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
diamond is just a mineral that are extracted from the deep down of ground...thats what i know refered to ur questionWhat is Diamond?
Aanguke Mara ngapi Mkuu? Dimond wa Nitarejea,Namba1 ndio huyo wa anayetoa MABOKO kila Siku? Tofautisha kusikika kwa Kiki au kufanya Show,hata Qchief ,TID wanafanya Show.
Kusikika hakuhitaji kipaji ni MFUKO wako tu....Ndio maana wasio na vipaji wanasikika sana.Hiyo tu ya kusikika bado ni air plane kwake go to hell
Anapaa kwenye Instagram labda.Hiyo nitarejea ambayo ni local flavour? Wenzako wanalenga wider market(international) na wanazidi kutoboa wewe umebaki kwenye 'aanguke mara ngapi', huyo kwa strategies na alivyo na experience ya showbiz atazidi kupaa tu kadri miaka inavyosonga.
Sasa kwani uju IPP media wote wana bifu na diamond, afu isitoshe vyone chakachaka mwenyewe mla madawa ya kulevya hanastress za maishaJana nilikuwa nasikiliza tangazo la Nirvana EATV walikuwa wanamtangaza Yvonne Chakachaka .Wakamuuliza," celebrity gani wa Tanzania anawakubali?", Kile kipande walivyokiweka EATV, wametaja Lady JD, Jokate na Alikiba .EATV kumbe ni hatters wa Diamond pia.
Na ndio maana ya kipaji,maana kama auna kipaji uwezi kusikika sana ebooooohKusikika hakuhitaji kipaji ni MFUKO wako tu....Ndio maana wasio na vipaji wanasikika sana.
Sio Instagram ni worldwide nikufundishe kiingereza ebooooohAnapaa kwenye Instagram labda.
Sikujua km haters wa Diamond ni wengi kiasi hicho!Sasa kwani uju IPP media wote wana bifu na diamond, afu isitoshe vyone chakachaka mwenyewe mla madawa ya kulevya hanastress za maisha
Si ndo alokuzaa,shostito yako jumlisha baba yako eboooooh
Sio Instagram ni worldwide nikufundishe kiingereza eboooooh
Na ndio maana ya kipaji,maana kama auna kipaji uwezi kusikika sana eboooooh
Ha ha ha ha haTokea mwaka 2012 alipofanyaga tamasha la Diamonds Are Forever, Watu wamekuwa wakimtabiria kuanguka soon! Nauliza hiyo soon "karibia" haifiki tu? Maana sisi km team Wasafi tushazichoka hizo ndere zenu zisizo na faida. kama mmeshindwa kumshusha si mtulie tu?, wakina sie tuendelee kumpaisha nyie muwe mnashuhudia huku viroho vinawauma.
Hivi Ali Kiba bado ni mshindani wa Diamond?Ha ha ha ha ha
Yuko wapi kwanza!!!?Hivi Ali Kiba bado ni mshindani wa Diamond?
Kipaji hakifi hao wnaosikika wapo kwenye cartel ya wenye mifuko wa kukata ganji ili promo iwe kubwa na ndio maana wakiacha kutoa fungu watu wanaweka kazi KAPUUUNI.Na ndio maana ya kipaji,maana kama auna kipaji uwezi kusikika sana eboooooh
Ahaaaah hata kuandika aujui ebooohKipaji hakifi hao wnaosikika wapo kwenye cartel ya wenye mifuko wa kukata ganji ili promo iwe kubwa na ndio maana wakiacha kutoa fungu watu wanaweka kazi KAPUUUNI.
Umemaliza mkuuTeam team ukimwangalia jamaa mwenyewe anamiliki techno tu na anakaa kwa dadaake
KONDEGANG
Anapaa kipesa, anaongeza wigo wa fans nje ya Tanzania/nje ya Afrika na hakuna mwanamuziki the whole East Africa ambaye kwa sasa ana soko kama yeye.Anapaa kwenye Instagram labda.