Hivi hili ANGUKO la Diamond Platnumz halifiki tu? Maana ndele zimekuwa nyingi

Hivi hili ANGUKO la Diamond Platnumz halifiki tu? Maana ndele zimekuwa nyingi

Hiyo nitarejea ambayo ni local flavour? Wenzako wanalenga wider market(international) na wanazidi kutoboa wewe umebaki kwenye 'aanguke mara ngapi', huyo kwa strategies na alivyo na experience ya showbiz atazidi kupaa tu kadri miaka inavyosonga.
Aanguke Mara ngapi Mkuu? Dimond wa Nitarejea,Namba1 ndio huyo wa anayetoa MABOKO kila Siku? Tofautisha kusikika kwa Kiki au kufanya Show,hata Qchief ,TID wanafanya Show.
 
Hiyo nitarejea ambayo ni local flavour? Wenzako wanalenga wider market(international) na wanazidi kutoboa wewe umebaki kwenye 'aanguke mara ngapi', huyo kwa strategies na alivyo na experience ya showbiz atazidi kupaa tu kadri miaka inavyosonga.
Anapaa kwenye Instagram labda.
 
Jana nilikuwa nasikiliza tangazo la Nirvana EATV walikuwa wanamtangaza Yvonne Chakachaka .Wakamuuliza," celebrity gani wa Tanzania anawakubali?", Kile kipande walivyokiweka EATV, wametaja Lady JD, Jokate na Alikiba .EATV kumbe ni hatters wa Diamond pia.
 
Sasa kwani uju IPP media wote wana bifu na diamond, afu isitoshe vyone chakachaka mwenyewe mla madawa ya kulevya hanastress za maisha
 
Tokea mwaka 2012 alipofanyaga tamasha la Diamonds Are Forever, Watu wamekuwa wakimtabiria kuanguka soon! Nauliza hiyo soon "karibia" haifiki tu? Maana sisi km team Wasafi tushazichoka hizo ndere zenu zisizo na faida. kama mmeshindwa kumshusha si mtulie tu?, wakina sie tuendelee kumpaisha nyie muwe mnashuhudia huku viroho vinawauma.
Ha ha ha ha ha
 
Na ndio maana ya kipaji,maana kama auna kipaji uwezi kusikika sana eboooooh
Kipaji hakifi hao wnaosikika wapo kwenye cartel ya wenye mifuko wa kukata ganji ili promo iwe kubwa na ndio maana wakiacha kutoa fungu watu wanaweka kazi KAPUUUNI.
 
KONDEGANG

Tatizo hamjui bihashara ya Mziki ikoje.Wasafi ni Lebo Diamond ni meneja wa Wasafi...Konde boy kasajiliwa wasafi kama mwana mziki aliye chini ya Leo ya Wa safi ili aimbe na aweze kusavive,Na hii IPO Duniani kote Wasanii wachanga kuimba kwa bidii ili wakue na waikuze Lebo waliyosajiliwa nayo.
 
Anapaa kwenye Instagram labda.
Anapaa kipesa, anaongeza wigo wa fans nje ya Tanzania/nje ya Afrika na hakuna mwanamuziki the whole East Africa ambaye kwa sasa ana soko kama yeye.

Haters wanazidi kununa.

Zile nyimbo za zamani eti sijui mashairi,sauti za kubana pua hazina mpango katika showbiz especially when it comes to the international market labda kama anataka kujirudisha nyuma.

Show mfululizo anazopata kimataifa zinadhihirisha alivyolikamata soko.
 
Back
Top Bottom