GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Kodi ya pango ni shilingi ngapi kwa mwezi? mbona sijawahi kuletewa deni?Ety walisema ni Kodi ya pango
Wanakusanya hela za kampeni. SAA hizi mtaona tozo na makato yasiyo na kichwa wala miguu kila sehemu. Kwenye miamala ya simu, miamala ya benki, mafuta, maji, Umeme etc. Polisi nao hawatakuwa nyuma kufanya KAZI za TRA Tanzania huko barabarani.Habari zenu JFView attachment 3223023
Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
Hua husomi tuKodi ya pango ni shilingi ngapi kwa mwezi? mbona sijawahi kuletewa deni?
Ni makato ya meneja wa branch ili ale na machangudoa wake at your expenseHabari zenu JFView attachment 3223023
Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
Sure yani jambo kama hili wanaNCHI tukitakiwa tupingeNi wizi tu, ukizingatia wananchi wenyewe hatujielewi ....shida tupu!
Hata mimi nimejiuliza sana tu...serikali isiyoona haya kuwaibia wananchi wake!Uhuni wa ccm na mwigulu wao
Inakatwa kila mwanzo wa mwezi. Kama wewe hukatwi, labda una ubia na TANESCO! Tarehe 2 December, 2024 nilikatwa deni la 1,500!Imebidi niangalie miamala yangu. Mbona LUKU yangu debt collected ni zero kwa Dec na January....? Hiyo ni nini?
Okay labda ulikatwa kwa mwingine alivyoweka.Inakatwa kila mwanzo wa mwezi. Kama wewe hukatwi, labda una ubia na TANESCO! Tarehe 2 December, 2024 nilikatwa deni la 1,500!
Haieleweki n sh ngapi ila n kuanzia bukuKodi ya pango ni shilingi ngapi kwa mwezi? mbona sijawahi kuletewa deni?
Inakatwa kila mwanzo wa mwezi. Kama wewe hukatwi, labda una ubia na TANESCO! Tarehe 2 December, 2024 nilikatwa deni la 1,500!
Mimi pia naomba tu nipewe elimu, hilo deni ni la nini?
Deni kwa kuwa Tanesco wanakusanya kwa niaba ya halmashauri/TRA.Mimi pia naomba tu nipewe elimu, hilo deni ni la nini?
- Kama ni la jengo, jengo gani linaongelewa hapa?
- Je kama mimi ni mpangaji tu, mwenye jengo pia anakatwa?
- Na kwa kuanzia tu kwa nini linaitwa deni?