Ubongo wa mende
Member
- Aug 11, 2018
- 37
- 81
😡😭😭😭😭😭Mimi pia naomba tu nipewe elimu, hilo deni ni la nini?
- Kama ni la jengo, jengo gani linaongelewa hapa?
- Je kama mimi ni mpangaji tu, mwenye jengo pia anakatwa?
- Na kwa kuanzia tu kwa nini linaitwa deni?