Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

Mimi pia naomba tu nipewe elimu, hilo deni ni la nini?
  • Kama ni la jengo, jengo gani linaongelewa hapa?
  • Je kama mimi ni mpangaji tu, mwenye jengo pia anakatwa?
  • Na kwa kuanzia tu kwa nini linaitwa deni?
😡😭😭😭😭😭
 
Umeanza kununua umeme lini? (LUKU)
Itakuwa ndio ameachiwa awe ananunua luku sasa ndio ameona.
Hizo tozo ndio zilimtoa ndugai madarakani. 😂😂🤣🤣🤣👇🏿👇🏿👇🏿🤣
 
Misaada ikiachwa kutolewa, kila aina ya kodi hamtaacha kuiona.
 
🤣🤣😂😂
Habari zenu JFView attachment 3223023

Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Luka 24:13-35​


Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Walimwona kwa macho, lakini hawakumtambua. Akawauliza, “Mnazungumza nini huku mnatembea?” Nao wakasimama kimya, nyuso zao wamezikunja kwa huzuni. Mmoja, aitwaye Kleopa, akamjibu, “Je, wewe ni mgeni peke yako Yerusalemu ambaye hujui yaliyotukia huko siku hizi?” Naye akawajibu, “Mambo gani?” Wao wakamjibu, “Mambo yaliyompata Yesu wa Nazareti.
 
Deni kwa kuwa Tanesco wanakusanya kwa niaba ya halmashauri/TRA.
1738565784801.png

Mbona mnazidi kunichanganya?​
 
Waiite tu kodi ya ardhi. Kama ni ya jengo, ni jengo gani hilo mtu anakata kodi wakati hakuwekeza hata shillingi ya ujenzi? Labda kama ni nyumba za National housing.
 
Hiyo ilianziaga buku, walikuwa wanakata buku kila mwezi ila ghafla ilapanda na kuwa 1500 bioa maelezo, sasa sijui imekuwaje wewe wamekufyeka elfu 3, au labda kuna wezi haukununua umeme, sasa ndio wamejumlisha mwezi uliopita na huu.


Wanakusanya kodi ili wapate hela za landcruiser, nyumba bure, kutibiwa bure, mafuta bure, umeme bure, walipiwe madereva, wasomeshewe watoto n.k
 
Tujiandae na Tozo na kodi mpya, baada ya beberu kusitisha misaada tutakamuliwa kisawasawa.
 
Hiyo jamani ni kodi ya mpango ambayo kila mwezi ni Tzs. 1500/= kwa nyumba za kawaida ila ghorofa ina kodi tofauti!
 
Mimi pia naomba tu nipewe elimu, hilo deni ni la nini?
  • Kama ni la jengo, jengo gani linaongelewa hapa?
  • Je kama mimi ni mpangaji tu, mwenye jengo pia anakatwa?
  • Na kwa kuanzia tu kwa nini linaitwa deni?
kama uko nyumba ya kupanga ya kawaida mwambie mwenye nyumba wako awe anakupa 1,500/= kila mwezi kodi ya pango na kama unaishi nyumba ya ghorofa akupe 5,000/=
 
Back
Top Bottom