Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

Misaada ikiachwa kutolewa, kila aina ya kodi hamtaacha kuiona.
Watuletee kodi ya kichwa halafu sisi tutawaonyesha ufundi tunakata vichwa na wanatuona tunadunda na viwiliwili mtaani!.
 
Hata mimi nimejiuliza sana tu...serikali isiyoona haya kuwaibia wananchi wake!

Cost 6,967.22
VAT 18% 1,254.09
EWURA 1% 69.67
REA 3% 209.02
Debt Collected 1,500.00




TOTAL 10,000.00

Fikiria unalipia LUKU ya 20,000, unapata LUKU ya 6,967.22 ! Asilimia 35% imeliwa!
Wapi umelipia umeme wa 20k wewe mmatumbi?
Umelipa 10k tu, acha fix
 
🤣🤣😂😂

😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Luka 24:13-35​


Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Walimwona kwa macho, lakini hawakumtambua. Akawauliza, “Mnazungumza nini huku mnatembea?” Nao wakasimama kimya, nyuso zao wamezikunja kwa huzuni. Mmoja, aitwaye Kleopa, akamjibu, “Je, wewe ni mgeni peke yako Yerusalemu ambaye hujui yaliyotukia huko siku hizi?” Naye akawajibu, “Mambo gani?” Wao wakamjibu, “Mambo yaliyompata Yesu wa Nazareti.
Aahaah, mambo yanayoipata nchi yetu kwa sasa eeh ,?
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Duh mkuu hapa inamaana ni kwamba umelipia umeme wa 50,000 lakini umepewa units za umeme wa 39,754.10?

Duh! Aise kama ndo hivyo basi sio mchezo hizo kodi ni balaa.
Ndio mkuu kodi mbalimbali zimeenda na 10,250/= hawa jamaa wanakula hela zetu hatari...
 
Hata mimi nimejiuliza sana tu...serikali isiyoona haya kuwaibia wananchi wake!

Cost 6,967.22
VAT 18% 1,254.09
EWURA 1% 69.67
REA 3% 209.02
Debt Collected 1,500.00




TOTAL 10,000.00

Fikiria unalipia LUKU ya 20,000, unapata LUKU ya 6,967.22 ! Asilimia 35% imeliwa!
Aisee
 
Back
Top Bottom