Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

Misaada ikiachwa kutolewa, kila aina ya kodi hamtaacha kuiona.
Watuletee kodi ya kichwa halafu sisi tutawaonyesha ufundi tunakata vichwa na wanatuona tunadunda na viwiliwili mtaani!.
 
Wapi umelipia umeme wa 20k wewe mmatumbi?
Umelipa 10k tu, acha fix
 
Aahaah, mambo yanayoipata nchi yetu kwa sasa eeh ,?
 
Reactions: rr4
Duh mkuu hapa inamaana ni kwamba umelipia umeme wa 50,000 lakini umepewa units za umeme wa 39,754.10?

Duh! Aise kama ndo hivyo basi sio mchezo hizo kodi ni balaa.
Ndio mkuu kodi mbalimbali zimeenda na 10,250/= hawa jamaa wanakula hela zetu hatari...
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…