Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Kaulize BAKITA. Neno mwendazake ni sahihi na wala sio kejeli sema kwa Magu linavuma sana kutokana na ukatili wake na tabia yake ya kuendesha nchi kibabe bila kufuata katiba na sheria za nchi. Lakini yule Dialo akaongezea tena neno eti nchi iliongozwa na kichaa.Limekaa kikejeli sio official.. Mbona mkapa hakuitwa hivyo wala Nyerere??
Wauni walimtungia Hilo Jina likawa kama msimu Sasa watu washaanza kuzoea
Dharau inatokea wapi kwa matumizi ya neno la kiswahili?Hiyo ni dharau,halafu EARADIO ni media kubwa ila watangazaji wake hawana haiba kabisa.
Mwendazake maana yake ni marehemu, ni neno rasmi la KiswahiliLeo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao
Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo mtangazaji alikuwa na mwezie Wakawa wanajadili maswala ya CAG Mara katika malumbano mmoja akasema mbona MWENDAZAKE magufuli aliwahi weka wazi mshahara wake?
Akatamka kabisa neno MWENDAZAKE mida ya sa 09:32
Sasa nauliza Hilo jina Ni official Hadi mtangazaji amuite marehemu mwendazake?
It's not fairLeo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao
Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo mtangazaji alikuwa na mwezie Wakawa wanajadili maswala ya CAG Mara katika malumbano mmoja akasema mbona MWENDAZAKE magufuli aliwahi weka wazi mshahara wake?
Akatamka kabisa neno MWENDAZAKE mida ya sa 09:32
Sasa nauliza Hilo jina Ni official Hadi mtangazaji amuite marehemu mwendazake?
Kivipi?Neno fasaha la kiswahili liache kuwa sawa?It's not fair
Katizame kwenye kamusi, au nenda Bakita waulize, mwendazake maana yake ni marehemu ni neno rasmi kabisaLimekaa kikejeli sio official.. Mbona mkapa hakuitwa hivyo wala Nyerere??
Wauni walimtungia Hilo Jina likawa kama msimu Sasa watu washaanza kuzoea
Mbona mkapa haiitwi?Kivipi?Neno fasaha la kiswahili liache kuwa sawa?
Na akiwasikiliza watu wa Kenya,huwa wanalitamka kwa mbwembwe sana.Hasa wa kule Lamu,Malindi na Mombasa.Wamelizoea.Ni mfano tu wa maneno mengi yatumiwayo sehemu moja tofauti na kwingine.Itoshe kueleza kwamba,bado tuna kiswahili cha mazoea yetu au cha eneo tulilozoea.Tusijifungie.Tujifunze zaidi.Katizame kwenye kamusi, au nenda Bakita waulize, mwendazake maana yake ni marehemu ni neno rasmi kabisa
Hajazuiwa mtu kuwaita hivyo, hata wewe unaweza kuwaitaMbona mkapa haiitwi?
Nyerere haitwii?
Why only JPM?
Jina limekaa ki kejeli kejeli....Hajazuiwa mtu kuwaita hivyo, hata wewe unaweza kuwaita
Inategemea tu na muitaji au mtamkaji.Mwingine ana msamiati mmoja tu wa marehemu.Mwingine anayo miwili tu.Marehemu na hayati.Halafu,kuna mwingine anayo misamiati zaidi ya miwili.Yaani marehemu, hayati, aliyetutoka, aliyetangulia, mwendazake, aliyependwa zaidi na BWANA nk.Huyo wa mwisho ana utajiri wa misamiati na anaamua atumie upi!Hata hivyo,hao wote tunaweza kuwaita kwa kutumia misamiati hiyo yote bila ubaguzi.Wigwa mwichane?Mbona mkapa haiitwi?
Nyerere haitwii?
Why only JPM?
Wigwaga😂Inategemea tu na muitaji au mtamkaji.Mwingine ana msamiati mmoja tu wa marehemu.Mwingine anayo miwili tu.Marehemu na hayati. Halafu, kuna mwingine anayo misamiati zaidi ya miwili. Yaani marehemu, hayati, aliyetutoka, aliyetangulia, mwendazake, aliyependwa zaidi na BWANA nk. Huyo wa mwisho ana utajiri wa misamiati na anaamua atumie upi! Hata hivyo, hao wote tunaweza kuwaita kwa kutumia misamiati hiyo yote bila ubaguzi. Wigwa mwichane?