Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
- Thread starter
- #41
Ni Kenya huko na sio TZNi neno sahihi la kiswahili ondoa shaka.
Kule kwetu Kenya(tamka Kinya) huwa tunalitimia sana tukimaanisha marehemu.
Hata waunda magari Kuna baadhi ya nchi hawauzi na jina Hilo wanabadili sababu sehemu husika jina la gari linaweza maanisha kitu sio kizuri kwa jamii hivo wanabadili ,,
Kama kenye Ni sawa Basi huku tz kumuita hayati magufuli mwendazake sio sahihi ,, yule Ni rais alikuwa ana cheo hapaswi itwa marehemu Bali hayati ..mwendazake utaita wazazio wakifariki