Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
- Thread starter
-
- #41
Ni Kenya huko na sio TZNi neno sahihi la kiswahili ondoa shaka.
Kule kwetu Kenya(tamka Kinya) huwa tunalitimia sana tukimaanisha marehemu.
Taka ni mwendazake usitake ni mwendazake..Ni Kenya huko na sio TZ
Hata waunda magari Kuna baadhi ya nchi hawauzi na jina Hilo wanabadili sababu sehemu husika jina la gari linaweza maanisha kitu sio kizuri kwa jamii hivo wanabadili ,,
Kama kenye Ni sawa Basi huku tz kumuita hayati magufuli mwendazake sio sahihi ,, yule Ni rais alikuwa ana cheo hapaswi itwa marehemu Bali hayati ..mwendazake utaita wazazio wakifariki
Sio kweli,mwenda zake ni mwenda pekee.MWENDAZAKE :neno hili humaanisha mtu ambae hakufanya chochote kwa jamii Bali alifanya yote yanayomuhusu mwenyewe hivyo yoote aliyoyanya ni ya kwake mwenyewe hili ni tusi kubwa Sana ,Ina maanisha amekufa na ameondoka na vyoote hakuacha chochote kwa jamii yeyote ,familia, ndugu ,jamaa,rafiki, yaani mbinafsi ,nk