Tff wanajua jinsi Boda Fc walivyochukua ubingwa, so wameona wasijichoshe!Hii nchi kuna utani kila sehemu. Hivi TFF wanawezaje kutoa kikombe uchwara kama hiki kwa Bingwa wa Nchi?
Mimi nimezoea kuyaona kwenye michuano ya UMISSETA ile michuano ya wanafunzi wa sekondari. Hii haikubaliki, ni udhalilishaji wa Bingwa wa nchi.
View attachment 1110733
Mkuu ligi yetu inaendeshwa kimasihara mno, viongozi hawako 'siriaz'! Hawana aibu kabisa, ile tu timu kuwa na viporo zaidi ya 10 ilikuwa aibu tosha achilia mbali hilo kombe walilopewa simba!Lakini hii ni aibu kwao na Nchi pia hasa wakati huu wa Teknolojia.
Blenda hiyoTff wanajua jinsi Boda Fc walivyochukua ubingwa, so wameona wasijichoshe!