ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Hii nchi kuna utani kila sehemu. Hivi TFF wanawezaje kutoa kikombe uchwara kama hiki kwa Bingwa wa Nchi?
Mimi nimezoea kuyaona kwenye michuano ya UMISSETA ile michuano ya wanafunzi wa sekondari. Hii haikubaliki, ni udhalilishaji wa Bingwa wa nchi.