Hivi hili kombe mbona kama la Umisseta?

Hivi hili kombe mbona kama la Umisseta?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Hii nchi kuna utani kila sehemu. Hivi TFF wanawezaje kutoa kikombe uchwara kama hiki kwa Bingwa wa Nchi?

Mimi nimezoea kuyaona kwenye michuano ya UMISSETA ile michuano ya wanafunzi wa sekondari. Hii haikubaliki, ni udhalilishaji wa Bingwa wa nchi.
37dc62d296bf9a54927160cc8fecd3a2.jpeg
 
Hii nchi kuna utani kila sehemu. Hivi TFF wanawezaje kutoa kikombe uchwara kama hiki kwa Bingwa wa Nchi?

Mimi nimezoea kuyaona kwenye michuano ya UMISSETA ile michuano ya wanafunzi wa sekondari. Hii haikubaliki, ni udhalilishaji wa Bingwa wa nchi.
View attachment 1110733
Tff wanajua jinsi Boda Fc walivyochukua ubingwa, so wameona wasijichoshe!
 
Kwanini wafanyabiashara wamegoma kudhamini TPL? Haina maslahi? How?
 
Back
Top Bottom