Hivi hili ni kosa?

Hilo siyo kosa.......... Ulistahili kufanya hivo
 
Kwani ungekaa kimya bila kuwaeleza wazazi wake then ukamwacha na kuendelea na maisha yako ungepungukiwa nini??
 
na nyie huwa hamsomi alama za nyakati vijana???kwani ulikuwa umpe ada ww ni baba yake??aah.kashaniudhi tayari
 
mhhh unamoyo ndugu yangu,me mgumu sana kuhonga maana hawa wanawake asilimia kubwaa hawana shukrani,komaa nae tu mpaka akulipe,tena akulipe zote,sio nusu,maan hafai kuwa mpenz,labda kidosho tu.
 
ukimsaidi demu wako ukitarajia awe mke wako imekula kwako!!msaidie tu uende zako
 
ushamba unao kweli,badala ya kuenda kutafuta mke kijijini ulipotokea unatafuta kwa watoto wa mjini wanaovaa les wigi utaisoma number.....:laugh::laugh::laugh::twitch:
 
...Binti amekosea kukutukana tu.(najiweka kwenye shoes zake)...Hapo kwenye kuwaeleza wazazi wake pia umekosea.....utamshtakia mangapi??? keshakuwa huyo....ungesubiri tu allowance ikiisha akija tena ndio unampa darasa......pia kama yupo chuo anaona wenzake wanahongwa hawadaiwi lazima ashangae wewe kumdai.....

siku nyingine ukiambiwa utarudishiwa ujue hiyo ni gia tu ya kuombwa pesa, hazirudi hizo.....
 
Sasa kwa upande wa huyo mpenzi wangu, ananilalamikia kuwa nimefanya kitendo ambacho sio cha kistaarabu na nimemdharau.
demokrasia, sidhani kama uko sawa! Naamini umechanganyikiwa kwa mapenzi ya huyo Kicheche. aliyokutukana hakuwa amekudharau na hakuwa mstaarabu?

Piga chini fasta. Demu Bomba hawezi (kwa 95%) kutoka Vyuo Vikuu (hasa kama hakupumzika kidogo baada ya kidato cha sita). Msomi ambaye ni mpenzi, hawara, mke bomba lazima maisha kwanza ya KITAA ayafahamu na afute Ndoto zake za Alinacha.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana, hii ni noma! Chuo gani hicho ili tuunde tume ya uchunguzi.
 

Wewe utakuwa ni wa aina hiyo hiyo ndio maana umetoa ushauri wa kipuuzi kama huu.
 
Wewe utakuwa ni wa aina hiyo hiyo ndio maana umetoa ushauri wa kipuuzi kama huu.

Demokrasia
YOu can disagree with my advice and call it whatever, but assuming you know me or my kind!!!....................how lame!!? Just so you know,I had a tonne to say about this but, figured why waste my ..............and/or tire ............................. for such..................................... f


PS
Contrary to your assumption above "Mimi" ni wale who pay their bills:coffee:
 
pole sana kaka ,ila wapo watu kama hao ,wanakutumiliaaa ,then ukiwambia kitu anasahau wema wako unakuwa sawa na ziro , achana nae bwana aikuzingue ,kama vip s ata fute ao wenye hela na simalimbukeni , wewe s amekuona unahangaika na maisha then una msaidia anakuona ***** , watu wanasema hujui thamani ya kitu mpaka ukikose ,sasa wewe chukua time yako asi kudhalilishe , wazur wapo na wenye heshima na ubinaadamu utapata duniani ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…