Zamani kabisa nilivyokuwa level za chini,niliamini sana ya kwamba vyuo vikuu ukifika ndio kila kitu,...yaani walimu bora,facilities mblmbl lakini kudri muda unavyosonga mbele naamini ya kwamba Tanzania hakuna vyuo bora ambavyo vinaweza kukuandaa wewe kama graduate ili baadae uweze kuwa competent unapokwenda kufanya kazi...haswa haswa abroad.vyuo ving vya bongo bado wanatoa elimu ya kubabaisha tu,mm nilijua tatizo ni kwetu...lok kumbe bongo yote inanuka...Hata hao vizabizabina wakina SENETOR wanakifanyia mapambio UDSM kote huku hakuna kitu.kila rafiki nikijaribu kuongea nao kuhusu vyuo vyao na mustakabali wa elimu wanayoipata kwa siku za baadae,wote wanalalamika na mwisho kukiri na kusema "BORA TUGRADUATE,ELIMU SIO BONGO" BONGO NI UBABAISHAJI TU.
Bongo hakuna chuo bora,vyuo vyote vya bongo=secondary school.
UDSM CHUO JINA KUBWA LAKINI HAKUNA ELIMU HAPO,ZAIDI YA VIJANA KUKUA NA KUONGEZA TAKWIMU ZA WANASIASA YA KWAMBA TANZANIA TUNAWOSOMI