Pre GE2025 Hivi hili swali la Oscar Oscar kati ya CCM na jeshi la Polisi nani wanaotakiwa walijibu?

Pre GE2025 Hivi hili swali la Oscar Oscar kati ya CCM na jeshi la Polisi nani wanaotakiwa walijibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.

Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.

Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani kati yao mwenye jukumu la kujibu swali hili la Oscar Oscar!?

Msikilize hapa Kwa makini.
 
CCM hatunaga viashiria vyovyote vya uvunjifu wa miguu ya utulivu na amani sehemu yoyote ile
 
Huyu atatekwa usiku huu huu
Huwa anawatwangaga kama hivi mara kadhaa. Labda safari iwe serious sana. Maana nasikia kwa mujibu wa MMM maspana viongozi wakuu wote wa cdm wapo wameshikiliwa maeneo tofauti
 
Nashangaa sana kuona haya yanayoendelea. Siamini na wala sitakaa kuamini Chadema wana nguvu hizo za kutishia dola.
Inanitatiza mno kuelewa nani anayeruhusu matumizi makubwa kama haya ya nguvu? Kweli kuna sababu ya kuua nzi kwa bunduki? Hizo ni dalili mbaya kabisa za kifikra.
Waachieni CDM wajipambanue mpaka wachoke. Mbona wengine wanaruhusiwa????
 
Police CCM nao wapewe tuzo 🤪🤪

Maana wanajikuta sanaa
 
Kongole kwa katibu mkuu wa CCM kwa ushauri kuntu wa kihekima...

Ama kweli CCM inasimamia maslahi màpana ya nchi yetu[emoji7]
 
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.

Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.

Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani kati yao mwenye jukumu la kujibu swali hili la Oscar Oscar!?
View attachment 3068207
Msikilize hapa Kwa makini.
Utasikia Oscar ascar katekwa na watu wasiojulikana tuendelee kucheka na nyani tutavuna mabua
 
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.

Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.

Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani kati yao mwenye jukumu la kujibu swali hili la Oscar Oscar!?
View attachment 3068207
Msikilize hapa Kwa makini.

..hata WAKOLONI hawakuwahi kuwaweka korokoni Mwalimu Nyerere, Mzee John Rupia, na Oscar Kambona, wakati wa kudai Uhuru.

..Kama nasema uongo site mwanahistoria Mohamed Said atueleze kama haya yanayofanywa na jeshi la Polisi kwa Chadema, yaliwahi kuwatokea TANU.
 
CCM hatunaga viashiria vyovyote vya uvunjifu wa miguu ya utulivu na amani sehemu yoyote ile
CCM ni chama Dola na CDM ni chama cha siasa, na ndiyo maana CDM na vyama vingine vimesajiliwa na Msajili wa vyama vya siasa aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM taifa ambae ndiyo Rais wa Tanzania [emoji1241], mbona ni sayansi ndogo sana hiyo kuielewa! Huyu Oscar lazima atakua kaingia jana kwenye siasa za Tanzania [emoji1241]
 
Back
Top Bottom