Pre GE2025 Hivi hili swali la Oscar Oscar kati ya CCM na jeshi la Polisi nani wanaotakiwa walijibu?

Pre GE2025 Hivi hili swali la Oscar Oscar kati ya CCM na jeshi la Polisi nani wanaotakiwa walijibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.

Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.

Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani kati yao mwenye jukumu la kujibu swali hili la Oscar Oscar!?
View attachment 3068207
Msikilize hapa Kwa makini.
Jibu lake ni kuwa selo zao bado hazijamalizwa kuwekwa mageti na vidirisha kutokana na kudororola uchumi wa dunia.
 
Back
Top Bottom