Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
AiseeCCM hatunaga viashiria vyovyote vya uvunjifu wa miguu ya utulivu na amani sehemu yoyote ile
Huwa anawatwangaga kama hivi mara kadhaa. Labda safari iwe serious sana. Maana nasikia kwa mujibu wa MMM maspana viongozi wakuu wote wa cdm wapo wameshikiliwa maeneo tofautiHuyu atatekwa usiku huu huu
Sana. Na hapa Oscar kuonesha weledi wa hali ya juu sana.Swali fikirishi sana hili lenye ujumbe mzito ndani yake
Unadhani kukamatwa Kwa hao vijana kumeifaidisha zaidi CCM ama kuidhuru?Kongole kwa katibu mkuu wa CCM kwa ushauri kuntu wa kihekima...
Ama kweli CCM inasimamia maslahi màpana ya nchi yetu[emoji7]
Utasikia Oscar ascar katekwa na watu wasiojulikana tuendelee kucheka na nyani tutavuna mabuaNimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.
Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.
Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani kati yao mwenye jukumu la kujibu swali hili la Oscar Oscar!?
View attachment 3068207
Msikilize hapa Kwa makini.
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.
Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.
Hapa JF ni "Home of Great thinkers" naona mnaweza kunisaidia kujua kati ya CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ni nani kati yao mwenye jukumu la kujibu swali hili la Oscar Oscar!?
View attachment 3068207
Msikilize hapa Kwa makini.
Kumeifaidisha CCM...Unadhani kukamatwa Kwa hao vijana kumeifaidisha zaidi CCM ama kuidhuru?
Kama kumeifaidisha CCM Katibu Mkuu wa CCM kajua Jana kuwa watu wa CHADEMA wamekamatwa!?Kumeifaidisha CCM...
Na aliyewaagiza ni Katibu Mkuu wa CCM.Wameagizwa wawachie,policcm bana wanaxingua
Katibu mkuu tena?Na aliyewaagiza ni Katibu Mkuu wa CCM.
CCM ni chama Dola na CDM ni chama cha siasa, na ndiyo maana CDM na vyama vingine vimesajiliwa na Msajili wa vyama vya siasa aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM taifa ambae ndiyo Rais wa Tanzania [emoji1241], mbona ni sayansi ndogo sana hiyo kuielewa! Huyu Oscar lazima atakua kaingia jana kwenye siasa za Tanzania [emoji1241]CCM hatunaga viashiria vyovyote vya uvunjifu wa miguu ya utulivu na amani sehemu yoyote ile