Wickama
JF-Expert Member
- Mar 8, 2009
- 1,466
- 1,196
Wadau,
Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza:
1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla ya LIKEs 100. Ina maana gani kwa kuwa ukigawa Likes/postings unapata 0.1. Lakini ukikuta mwingine pia mwenye 10,000 postings lakini ana Likes 9600 (ratio 0.96) Jee haitakuwa kweli kumchukulia mwenye ratio ndogo (Likes 100) kama ni kilaza au for most time anajiandikia garbage?
2. Jee kama watu wawili wote wana likes recieved 9000. Kisha mmoja wao ana Likes given 10,000 (ratio 1.1) huku mwenziwe ana likes given 440 (ratio 0.05) ina maana gani? Hizi ratio haziwezi kuwa kama kiashiria kuwa mwenye ndogo (ratio 0.05) kiasili ni mchoyo na mbinafsi sana kuliko mwenziwe mwenye ratio kubwa?
Nawakilisha