Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Unajua Mkuu wa chuo, kuna snag moja, parameter ya Rep Power, inaonyesha your reputation, SAWA. Bado pia wachangiaji wa thread yoyote ile wanaweza kumgonga star wao REPs na ikapanda. Tatizo la hii parameter navyoona mimi ni kuwa hupati feedback huyu aliye na Rep power fulani, yeye katoa Reps ngapi kwa wachangiaji wengine.
Kwa maana hiyo iliyo MOST transparent katika kupima ukarimu wa Mr X (tuuite Generosity Index-GI) ni hii ya LIKES received, na LIKEs given.
The issue at hand ni kwamba nikikuta mtu ana "LIKEs received 20,000" huku yeye ana "Likes given" 320 naanza kuhisi huyu "mshikaji ni bahili" yaani GI yake iko LOW.
Lakini nikikuta ana Likes received 800, Likes given 960 nahisi ni mwepesi wa kushukuru michango ya wenzake. Naona ni a bit academical.
cc Bulldog, Mamndenyi, Nakapanya, mdukuzi, King Kong III, Eiyer, 2013,
Ni kweli mkuu hicho unachokisema, kwa mfano tukija kwa Rep Power unahabari ya kwamba watu 20 wenye Rep power tuseme ya 4,000 wakimgongea mtu mmoja Rep Power anapata Rep Power ya 16,000, lakini mtu mmoja mwenye Rep Power ya tuseme ya 429,000,000 akimgongea mtu mwingine Rep Power anapata Rep Power ya 85,800,000...
kwasababu mtu mmoja anaweza zidi hadi watu hata 100 katika kutoa Rep... yaani Rep power ya mtu mmoja inaweza ikawa na impact kuzidi ya watu 100
Kwahiyo Rep Power sio kipimo kizuri, nafikiri likes Received na likes given ndio safi... naona kutoa zaidi kuliko kupokea ni vizuri...