Hivi hizi hesabu toka JamiiForums zinaweza kuashiria tabia ya mchangiaji?

Hivi hizi hesabu toka JamiiForums zinaweza kuashiria tabia ya mchangiaji?

Unajua Mkuu wa chuo, kuna snag moja, parameter ya Rep Power, inaonyesha your reputation, SAWA. Bado pia wachangiaji wa thread yoyote ile wanaweza kumgonga star wao REPs na ikapanda. Tatizo la hii parameter navyoona mimi ni kuwa hupati feedback huyu aliye na Rep power fulani, yeye katoa Reps ngapi kwa wachangiaji wengine.

Kwa maana hiyo iliyo MOST transparent katika kupima ukarimu wa Mr X (tuuite Generosity Index-GI) ni hii ya LIKES received, na LIKEs given.

The issue at hand ni kwamba nikikuta mtu ana "LIKEs received 20,000" huku yeye ana "Likes given" 320 naanza kuhisi huyu "mshikaji ni bahili" yaani GI yake iko LOW.

Lakini nikikuta ana Likes received 800, Likes given 960 nahisi ni mwepesi wa kushukuru michango ya wenzake. Naona ni a bit academical.

cc Bulldog, Mamndenyi, Nakapanya, mdukuzi, King Kong III, Eiyer, 2013,

Ni kweli mkuu hicho unachokisema, kwa mfano tukija kwa Rep Power unahabari ya kwamba watu 20 wenye Rep power tuseme ya 4,000 wakimgongea mtu mmoja Rep Power anapata Rep Power ya 16,000, lakini mtu mmoja mwenye Rep Power ya tuseme ya 429,000,000 akimgongea mtu mwingine Rep Power anapata Rep Power ya 85,800,000...

kwasababu mtu mmoja anaweza zidi hadi watu hata 100 katika kutoa Rep... yaani Rep power ya mtu mmoja inaweza ikawa na impact kuzidi ya watu 100

Kwahiyo Rep Power sio kipimo kizuri, nafikiri likes Received na likes given ndio safi... naona kutoa zaidi kuliko kupokea ni vizuri...
 
Mimi huwa Nafurahia kuwagongea likes tu lakini mwiko kupita zile ambazo nimepewa, nahakikisha inakua ni difference ya buku plus ➕
 
Unaweza ukawa sawa na usiwe sawa pia. Kilaza anaweza kuwa na likes nyingi kuliko genious.
Binafsi nimeona michango mingi yenye tija na watu hawapati likes vilevile kuna vilaza wanabishana just gossips na wanakula likes. Hii ndo jamii ya kitanzania.
Bulldog, hii ni kweli sana kwamba society karibu zote huwa watu hawana muda wa kusikiliza geniuses. Wanavutiwa na wale wenye kuleta vitu ambavyo havidai kuwaza sana. Mfano ni kwamba magazeti yenye mada nzito nzito huwa hata wasomaji wake ni wa kuhesabu. Lakini yale ya udaku na details za fumanizi yanauzwa kama njugu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani huko chuoni kwako mwenye marks nyingi ndiye aliyefeli mtihani?

Ha ha ha, jibu lako linachekesha but somehow lipo very humiliating kwa wenye like chache. Pia msisahau wapo wachangiaji wasio pitia dialogue za wengine ndio maana hawajaweza toa likes zao kwa muda muhafaka. Mfano Mi nimeshapokea likes kwa mchango wa mwaka 2013.
 
Wickama jionee mwenyewe ulivyokuwa kauzu:

Join Date : 8th March 2009
Location : Donge, Tanga Mjini
Posts : 854
Rep Power : 4037
Likes Received 639
Likes Given 639

Hata mkuu wa kaya alisema ukitaka kula ni lazima na wewe uliwe.

Unajua Mkuu wa chuo, kuna snag moja, parameter ya Rep Power, inaonyesha your reputation, SAWA. Bado pia wachangiaji wa thread yoyote ile wanaweza kumgonga star wao REPs na ikapanda. Tatizo la hii parameter navyoona mimi ni kuwa hupati feedback huyu aliye na Rep power fulani, yeye katoa Reps ngapi kwa wachangiaji wengine.

Kwa maana hiyo iliyo MOST transparent katika kupima ukarimu wa Mr X (tuuite Generosity Index-GI) ni hii ya LIKES received, na LIKEs given.

The issue at hand ni kwamba nikikuta mtu ana "LIKEs received 20,000" huku yeye ana "Likes given" 320 naanza kuhisi huyu "mshikaji ni bahili" yaani GI yake iko LOW.

Lakini nikikuta ana Likes received 800, Likes given 960 nahisi ni mwepesi wa kushukuru michango ya wenzake. Naona ni a bit academical.

cc Bulldog, Mamndenyi, Nakapanya, mdukuzi, King Kong III, Eiyer, 2013,
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza:

1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla ya LIKEs 100. Ina maana gani kwa kuwa ukigawa Likes/postings unapata 0.1. Lakini ukikuta mwingine pia mwenye 10,000 postings lakini ana Likes 9600 (ratio 0.96) Jee haitakuwa kweli kumchukulia mwenye ratio ndogo (Likes 100) kama ni kilaza au for most time anajiandikia garbage?

2. Jee kama watu wawili wote wana likes recieved 9000. Kisha mmoja wao ana Likes given 10,000 (ratio 1.1) huku mwenziwe ana likes given 440 (ratio 0.05) ina maana gani? Hizi ratio haziwezi kuwa kama kiashiria kuwa mwenye ndogo (ratio 0.05) kiasili ni mchoyo na mbinafsi sana kuliko mwenziwe mwenye ratio kubwa?

Nawakilisha

Kuna watu humu wana ID zaidi ya moja. Wengine zaidi ya kumi. Anaanzisha thread, anacomment kwa kwa kutumia ID zingine na kujipa likes kibao. Unaweza kuona watu wawili au watatu wanapeana "likes" kumbe actually ni mtu mmoja tu. Kwa maana hiyo, hizi likes pamoja na Rep power hazina uhalisia wowote. Labda mpaka itakapokapowezekana kufanya kila member mmoja atumie ID moja tu.
 
Wadau,

Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza:

1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla ya LIKEs 100. Ina maana gani kwa kuwa ukigawa Likes/postings unapata 0.1. Lakini ukikuta mwingine pia mwenye 10,000 postings lakini ana Likes 9600 (ratio 0.96) Jee haitakuwa kweli kumchukulia mwenye ratio ndogo (Likes 100) kama ni kilaza au for most time anajiandikia garbage?

2. Jee kama watu wawili wote wana likes recieved 9000. Kisha mmoja wao ana Likes given 10,000 (ratio 1.1) huku mwenziwe ana likes given 440 (ratio 0.05) ina maana gani? Hizi ratio haziwezi kuwa kama kiashiria kuwa mwenye ndogo (ratio 0.05) kiasili ni mchoyo na mbinafsi sana kuliko mwenziwe mwenye ratio kubwa?

Nawakilisha

ukilaza ni nini ?
ukilaza unapimwaje ?
great thinker yupoje ??

je kuna kilaza wa kila kitu na great thinker wa kila kitu ??
 
Unaweza ukawa sawa na usiwe sawa pia. Kilaza anaweza kuwa na likes nyingi kuliko genious.
1. Huyo wa likes ratio kubwa anaweza akawa amepata likes nyingi kwenye social forums kama chitchat, mmu n.k.
2. Pia kuna kufahamika na kuwa famous, kama ukiwa makini kuangalia kuna watu ni famous by nature either kwa kushusha nondo, kuwa notorious, au just kufahamika nje ya forums.
Siku nyingine ukiwa unaangalia likes/post ratio angalia na majukwaa ambayo huyo mtu anajiusisha. Unaweza kukuta 89% ya post zake zipo chitchat ambapo huwez kuhitimisha kwamba huyo mtu sio kilaza.
Binafsi nimeona michango mingi yenye tija na watu hawapati likes vilevile kuna vilaza wanabishana just gossips na wanakula likes.
Hii ndo jamii ya kitanzania.

Safi sana Bulldog wadau wengi wenye likes wanazipataga chit chat na MMU! But mimi hawanipi shida. nikitaka kufaham kama wewe ni kilaza or kinyume chake nakuchek kwenye post area kwisha habari yako. na endapo tu nikiona top three ya post zako ziko MMU, chitchat, na celebrity napataga jibu kwamba wewe ni box tupu, hizo likes zako si mali kitu!
 
sawa mkuu, ila hoja yangu inakuja pata mashaka nikiangalia tuseme kwa mfano (samahani lakini) wewe bango linaonyesha postings 21,488 likes received 6364 (ratio 0.3). Sasa katika likes zako 6364 umetoa kwa wengine "likes"
807 (ratio 0.13), sasa Bulldog, unakesi ya kujibu, ni vipi wewe ukawa ni mpokeaji mzuri wa likes za wengine
lakini mgumu kutoa? ndio swali mama. Je wewe ni mkarimu? kuliko BAK, mwenye ratio ya 1.1, au Saambovu (ratio 1.12)
kwa kupata na kutoa likes? (hahahahahahah...)

BAK, SaaMbovu, mdukuzi, King Kong III, zambrota,

Bulldog yuko sahihi! tunapoongelea likes given hapo tunaangalia response za watu na kwa mtazamo wangu wote wenye likes given kidogo na kwa kuzingatia post zake hapo unapata jibu kwamba huyo mtu ni mchoyo au kinyume chake.

Ifahamike wengine wanalikes given kidogo kutokana na kutojua kutumia forum vizuri. na hapo usishangae kukuta mdau anatumia jf kwa wapsite view. hiyo inasababishwa na ugeni wa kutumia mitandao na vile vile inaashiria ukilaza.
 
Hivi ukiwa MMU ndio kilaza ??
ukilaza ni nini ?
ukilaza unapimwaje ??
great thinkers yupoje ??

taja na mifano ya vilaza na great thinkers wa humu .
 
Hivi ukiwa MMU ndio kilaza ??
ukilaza ni nini ?
ukilaza unapimwaje ??
great thinkers yupoje ??

taja na mifano ya vilaza na great thinkers wa humu .

Kilaza ni yoyote mwenye uwelewa mdogo kwa mambo mengi.

MMU kuna gt wachache sana.
Ukumbuke kila mtu ni mdau wa mapenzi unless awe hana temptation. kubandika mapost mengi MMU na kupokea likes haiwezi kuamaunt eti nawe ni gt.

GT ni yule anaewaza sawa sawa na kuwa na udanbwi utambwi kwa nyanja tofauti ktk maisha. Nadhani utakubaliana nami kwamba gt wengi hawana time na mapenzi ya kuchokoana.

Mimi namkubali mtu kwamba ni gt kwa kuangalia post areas (top 5)

sitokaa niamini wewe ni gt kisa unalikes nyingi and/or una rep power kubwa. ntakachojiuliza ni kwamba: Jee hivyo umevipatia wapi?

MMU, Chitchat na celebrity ndiko likes na rep power zinatolewaga sana tu. but in reality hayo ndiyo majukwaa ya vilaza, hivyo vitu wanapeanaga tu kwa urafiki.
 
From my point of view. You are wrong. top 3 wenye rep power wamezipataga chit chat na waliobaki wamesomba kule MMU na zinatolewa kiurafiki zaidi. ILI KUTAMBUA VILAZA angalia post areas. angalia top 5.

Kuhusu Post areas hapa panahitaji umakini. MF. Sehemu za topic zihusuZo dini. Inabidi muwe makini kidogo.. Kwani imani ni imani, sometimes and perhaps in most cases imani haiitaji intellect kujitetea. Kuna watu Wana bash dini zingine wanakula likes za kumwaga.
Kuna haja ya kuelewa wengine wanavyofikiri.

pia kuna maeneo yenye vichekesho n.k. kuna watu ni genius kwenye hiki kitengo.

Kuna watu sekta za udaktari na mapenzi na hata siasa.

Pia kuna swala La hobby na marafiki. Kuna watu wanauswahiba humu, hivyo likes zao haziwezi pungua.

I think Cha msingi ni kuangalia comments na contents (and sometimes kuangalia amekula ban Mara ngapi Kama ipo) kwa mchangiaji.
I think Likes sio kigezo sahihi Sana. Cha msingi in kontents
 
Kilaza ni yoyote mwenye uwelewa mdogo kwa mambo mengi.

MMU kuna gt wachache sana.
Ukumbuke kila mtu ni mdau wa mapenzi unless awe hana temptation. kubandika mapost mengi MMU na kupokea likes haiwezi kuamaunt eti nawe ni gt.

GT ni yule anaewaza sawa sawa na kuwa na udanbwi utambwi kwa nyanja tofauti ktk maisha. Nadhani utakubaliana nami kwamba gt wengi hawana time na mapenzi ya kuchokoana.

Mimi namkubali mtu kwamba ni gt kwa kuangalia post areas (top 5)

sitokaa niamini wewe ni gt kisa unalikes nyingi and/or una rep power kubwa. ntakachojiuliza ni kwamba: Jee hivyo umevipatia wapi?

MMU, Chitchat na celebrity ndiko likes na rep power zinatolewaga sana tu. but in reality hayo ndiyo majukwaa ya vilaza, hivyo vitu wanapeanaga tu kwa urafiki.

kwani gt anapatikana jukwaa gani ??
Nimekwambia nitajie vilaza na great thinkers wa humu unaowatambua
na kwanini unadharau MMU chitchat na celebrity forum ??
 
Ni kweli mkuu hicho unachokisema, kwa mfano tukija kwa Rep Power unahabari ya kwamba watu 20 wenye Rep power tuseme ya 4,000 wakimgongea mtu mmoja Rep Power anapata Rep Power ya 16,000, lakini mtu mmoja mwenye Rep Power ya tuseme ya 429,000,000 akimgongea mtu mwingine Rep Power anapata Rep Power ya 85,800,000...

kwasababu mtu mmoja anaweza zidi hadi watu hata 100 katika kutoa Rep... yaani Rep power ya mtu mmoja inaweza ikawa na impact kuzidi ya watu 100

Kwahiyo Rep Power sio kipimo kizuri, nafikiri likes Received na likes given ndio safi... naona kutoa zaidi kuliko kupokea ni vizuri...

Mkuu underline nakubaliana nawe.

Red nnamawazo tofauti.

Likes received na rep power zinatolewa kiurafiki zaidi.

Kuna mdau alinishangaza sana kule MMU. kuna siku niliongea masiara huku nikitambua nafanya mzaha na kwa mtazamo wangu nahisi sikustahili kupokea hata like. but kuna mdau ana rep power kubwa tu, (nikisema kubwa namanisha kubwa.) alinipa rep power na kaujumbe kake kalinitaka nimrudishie rep power!!!!! khaa unajua sikufrahia ile action! but nikatambua huyu mdau anatatizo nami nikampatia tu. kuanzia hapo nikagundua rep power hazina maana.

After all kuna siku niliongea issue nyeti na yenye kuelimisha nq nilipokea rep power 5 ndani ya siku moja but hazikusoma kwa id yangu ispokua ile ya kwanza kati ya zile tano. nikiangalia ktk profile yangu kuna zaidi 400000000 rep power but kwa id yangu zinasomeka chake kama unavyoziona hapo.

Hapo nikaconclude likes na rep power zinatoa majibu kinyume na mhusika. ukitaka kuthibitisha hilo ingia MMU uangalie likes na rep power za wadada then uzihusishena zile za wakaka. hapo utagundua ke wanaakili nyingi kuliko sisi kitu ambacho sio kweli. kule hivo vitu vinatumika kwa interest let say kuna mdada namdoea! hapo namgongeaga tu likes na rep power.
 
Kuhusu Post areas hapa panahitaji umakini. MF. Sehemu za topic zihusuZo dini. Inabidi muwe makini kidogo.. Kwani imani ni imani, sometimes and perhaps in most cases imani haiitaji intellect kujitetea. Kuna watu Wana bash dini zingine wanakula likes za kumwaga.
Kuna haja ya kuelewa wengine wanavyofikiri.

pia kuna maeneo yenye vichekesho n.k. kuna watu ni genius kwenye hiki kitengo.

Kuna watu sekta za udaktari na mapenzi na hata siasa.

Pia kuna swala La hobby na marafiki. Kuna watu wanauswahiba humu, hivyo likes zao haziwezi pungua.

I think Cha msingi ni kuangalia comments na contents (and sometimes kuangalia amekula ban Mara ngapi Kama ipo) kwa mchangiaji.
I think Likes sio kigezo sahihi Sana. Cha msingi in kontents

Well said mkuu!

kamwe sitomuona mtu ni mjing.a coz yuko tofauti nami kiimani za kidini. I know katika dini tunafataga tu mkumbo! kwa wazazi wako dini fulani nasi ndio tunafata huko huko. ni wachache sana wenye sababu madhubuti za kuwafanya waamini dini wanazoamini! after all pande zote za kidini zinabebwa na imani iliyoambatana na siasa thus why unaona wahuku wanahamia huku na huku wanahamia kule. na kwa mtazamo wangu nikiona tu post zako zote ziko kiudini udini hapo nakueka kwenye group la vilaza bila kujali unatetea imani gani!!!!!

Aftet all hata likes na rep power zilizobase kwenye udini naziesabu hamna kitu!!!!!!!!!!

nikikuta ktk top five ya post yako kuna dini hapo nachukulia normal tu.
But ukiwa na MMU, Chitchat na celebrity ktk top five zako, haki ya mama najua wewe hamna kitu ni afadhali uwe na jokes hata siasa nakuchuliaga normal.

Na likes za urafiki na upenzi ndio sizikubali kabisa.
 
Back
Top Bottom