Hivi hizi kombi mpya za advance nazo wakimaliza wanasoma kozi hizi hizi za baed?

Hivi hizi kombi mpya za advance nazo wakimaliza wanasoma kozi hizi hizi za baed?

Mfano physics, mathematis na computer science
Na physics chemistry mathematics

Hawa wanasoma kozi moja chuo ? Au wana nafasi sawa ya kuchagua kozi kama ndio basi hii kombi haina msaada..

Au Economics Commerce and accountancy na Economics Business Studies and accountancy

Hawa watasoma kozi moja chuoni?
 
Back
Top Bottom