Mfano physics, mathematis na computer science
Na physics chemistry mathematics
Hawa wanasoma kozi moja chuo ? Au wana nafasi sawa ya kuchagua kozi kama ndio basi hii kombi haina msaada..
Au Economics Commerce and accountancy na Economics Business Studies and accountancy
Hawa watasoma kozi moja chuoni?