Hivi hizi nchi zetu tunawaza kuhusu vumbuzi?

Hivi hizi nchi zetu tunawaza kuhusu vumbuzi?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Nimeona nchi nyingi za Bara la Ulaya, america, Australia na Asia zikifanya jitihada za kuvumbua teknolojia ambazo kimkakati zinakuwa muhimu kwa nchi na historia ya vizazi vijavyo, kwa sasa China imeweza kupiga hatua za kutengeneza vifaa vya chaji na mitambo mengine.

Je, nchi zetu zimejikita katika teknolojia au ndiyo tunaabudu siasa?

Tunawaza sana madaraka na pesa kuliko kufikiria kizazi kinachokuja.
 
Back
Top Bottom