Hilo la kvant na konyagi mbunge msukuma amelitolea maelekezo bungeni tayarNIMEJARIBU SANA HILO SWALA WALE WATU WANAPITA NA MAKELELE MAJUMBAN TUNANUNUA SIMU MBOVU SHIDA NN NA ZINAENDAGA WAPI ZIKINUNULIWA??
TULISHAZOEA CHUMA CHAKAVU..PESA MBOVU
HIVI SASA WANANUNUA NA SIMU MBOVU AISEE
MAJUZI NIKO BAR NAONA MTU NA MKEWE WANASUMAKU MKONONI WANAOKOTAAA VIZIBO VYA BIA
AISEE LEO NIKO SEHEMU NAKULA NAONA WAMAMA WANAOKOTA CHUPA ZA KVANT NA KONYAGI...
Na pampas za watoto na zile ped aisee nilimpiga marufuku yule mbwaaa kama ameambiwa mule ndan wapangaji wana watoto anaingia anakagua nje anaokota namuuliza unazifanyia recycling ama....mjimbaya sana hata vile visoda wanaweza kuwa wanachukua nyota zetu za midomooooniii....Hahaha
Mjini kuna mambo..
Kuna wakati kulikuwa na wanunuzi wa mkojo wa wajawazito