Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa??

Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu.

Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee.

Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa vizibo vya bia

Aisee leo niko sehemu nakula naona wamama wanaokota chupa za kvant na konyagi...
 
NIMEJARIBU SANA HILO SWALA WALE WATU WANAPITA NA MAKELELE MAJUMBAN TUNANUNUA SIMU MBOVU SHIDA NN NA ZINAENDAGA WAPI ZIKINUNULIWA??

TULISHAZOEA CHUMA CHAKAVU..PESA MBOVU
HIVI SASA WANANUNUA NA SIMU MBOVU AISEE

MAJUZI NIKO BAR NAONA MTU NA MKEWE WANASUMAKU MKONONI WANAOKOTAAA VIZIBO VYA BIA

AISEE LEO NIKO SEHEMU NAKULA NAONA WAMAMA WANAOKOTA CHUPA ZA KVANT NA KONYAGI...
Hilo la kvant na konyagi mbunge msukuma amelitolea maelekezo bungeni tayar
 
Hahaha
Mjini kuna mambo..
Kuna wakati kulikuwa na wanunuzi wa mkojo wa wajawazito
Na pampas za watoto na zile ped aisee nilimpiga marufuku yule mbwaaa kama ameambiwa mule ndan wapangaji wana watoto anaingia anakagua nje anaokota namuuliza unazifanyia recycling ama....mjimbaya sana hata vile visoda wanaweza kuwa wanachukua nyota zetu za midomooooniii....
 
ipoo siku wataanza kuokota michanga ya nyayoozwtu
 
Waulize wazee wa kuchoma na full box watakwambia wanazipeleka wapi.
 
Ndo hizihizi zinazo comment ujinga jf na kuleta mada za kipuuzi kipuuzi, anyway tununueni magari
 
Back
Top Bottom