Hivi hizi story za kuwa fid Q ni marioo zina ukweli wowote?

Hivi hizi story za kuwa fid Q ni marioo zina ukweli wowote?

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Hizi story nazisikia sana kuwa fid ni marioo kuwa anaish kwa kulelewa ni binti wa kizungu hivi story ni za kweli maana kama siziamini ivi....coz kina ngosha hatuna izo sifa
 
Aisee wiki ya fid Q hii,next week sijui msanii gani atapaishwa.
 
Fid Q ndio nani na Marioo ndio nini? wengine hatuwajui hao watu.
 
Back
Top Bottom