Hivi hizi story za kuwa fid Q ni marioo zina ukweli wowote?

Hivi hizi story za kuwa fid Q ni marioo zina ukweli wowote?

Hana otherwise maana hip-hop hailip
 
Ndiyo ni kweli yule manzi wa kizungu ananilea we kinakukera nini babuuu? Nimekuja kuiba kwako? embu fanya yako babuu.
 
Kwa akili yako finyu unaamini kama fid Q ana uwezo wa kumuhudumia uyo mzungu
Kwetu wazungu bei rahisi sana, ukimnunulia makande ya 800/= yale yanayouzwa kwenye ndoo mzungu anahamia geto kwako.

Fid q ni family man mwacheni atunze familia.
 
Wa bongo bhana badala mjibu kilichoulizwa mnaelezea hisia zenu, tabu kweli kweli
 
Naona joh makini fans mnaanza kujibu mapigo kwa story za kubebwa ndugu yenu
Huu ugomvi wa kanda ya ziwa na kaskazini naona umetoka serikalini umehamia kwenye mziki
Mmoja anabebwa mmoja analelewa....YETU macho
 
Kwa mfano wewe mleta mada uwe na demu mwenye uwezo na pengine yeye ndiye anasolve issue nyingi za kiuchumi...lakini mnapendana.Kwahiyo itabidi uvunje uhusiano kwa kuhofia jamii itakuona unalelewa?Tuache hizo.Tuache wivu.Kwahiyo tusioe mademu wenye kipato kikubwa au mzungu au mwarabu kwa kuogopa watu kama nyie?Hii ndio tabu wanafunzi kuwa na simu na muda ni wa shule.
 
Fid q mwenyewe mnayemsema kwan anachezea timu gan. Sion haja ya kumpaisha wakat wengine hatumfahamu
 
Hizo tetesi ni za zamani sana... Toka enzi zile TID amekuja na Zeze...
 
Naona joh makini fans mnaanza kujibu mapigo kwa story za kubebwa ndugu yenu
Huu ugomvi wa kanda ya ziwa na kaskazini naona umetoka serikalini umehamia kwenye mziki
Mmoja anabebwa mmoja analelewa....YETU macho
Hamna ugomvi wala ujinga wowote unaofikiria. Ushamba wa haya matumizi ya mitandao ya kijamii yanawafanya watanzania kuonyesha upumbavu wao.

Wapumbavu wako kila kona, kaskazini, kusini mashariki nk.

"Watanzania wanapenda maendeleo lakini wanawachukia watu wenye maendeleo"
 
Namtafuta popote alipo mzungu wa kunilea!!
 
Mkuu namna ulivyouliza swali inaonesha unahisi yeye kua marioo (kama ni kweli) kuna ubaya. Uchumi unatofautiana mkuu, as long as uanaume wake upo intact sioni kama kuna tatizo katika hilo
 
Back
Top Bottom