Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Taa nimeziona mkuu ni nzuri ila barabara ni chafuMkuu umeziona lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taa nimeziona mkuu ni nzuri ila barabara ni chafuMkuu umeziona lakini?
Mbunge kweli sema aliona anaenda kuharibu na ile story 😹😹😹Hakuna mbunge hapo?
Alikuwa anataka utamu wako tu...dadeki
Huna exposure aiseeWadau ni balaa sasa,
Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.
Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini?
Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light. Inaanza ya kivuko cha watembea kwa miguu, mbele mita 10 kuna taa za kuingia barabara ya gerezani mita 10 tena kuna taa za junction ya Sokoine na Gerezani...
Its look too much.
Anyway ngoja tuone zitafanya vipi kazi.
Ila ni kiashiria cha uharibifu wa rasilimali pesa.
Wanakera sana asee yani mtu anawasha mataa full kama anawinda, bado honi siku hizi hadi bodaboda wanafunga honi kama za mabasi na malori, ukipigiwa hilo lihoni unashituka unajua kuna mbasi au mlori unakuja nyuma yako kumbe ni kabodaboda yani wanaweza kukusababishia ajali hivi hiviBado taa za magari na bajaji, dereva bajaji anakuwashia full halafu taa kali kafunga km ya treni unaweza kuhama barabara usipokuwa makini.!! 😹😹
😹😹😹 Mwenzio last week bado kidogo nile mbanga, kuna bajaji alinichomekea nusu nipate ajali.!!Wanakera sana asee yani mtu anawasha mataa full kama anawinda, bado honi siku hizi hadi bodaboda wanafunga honi kama za mabasi na malori, ukipigiwa hilo lihoni unashituka unajua kuna mbasi au mlori unakuja nyuma yako kumbe ni kabodaboda yani wanaweza kukusababishia ajali hivi hivi
Hahaha yani huko highway madereva wa mabasi na malori Neno kukupisha kwao ni msamiati, wenyewe wanawaita madereva wa magari madogo eti wamama wa nyumbani, unakutana na mtu anaovertake yuko kwenye lane yako sasa uchague moja umpishe au akuvae uingie uvunguni 😀😀😹😹😹 Mwenzio last week bado kidogo nile mbanga, kuna bajaji alinichomekea nusu nipate ajali.!!
Zile honi zao sijui wamefunga za New force yani tafrani km sio mzoefu unaweza kuhama njia ukajikuta korongoni.!!
Sasa siku jaribu kwenda mkoa ukutane na big boyz mabus na milori halafu kuna wale madereva wa IT unaweza kupaki gari upumzike hizo fujo zao 😹😹😹
Hapo kwenye IT unatusingizia kwa kweli😹😹😹 Mwenzio last week bado kidogo nile mbanga, kuna bajaji alinichomekea nusu nipate ajali.!!
Zile honi zao sijui wamefunga za New force yani tafrani km sio mzoefu unaweza kuhama njia ukajikuta korongoni.!!
Sasa siku jaribu kwenda mkoa ukutane na big boyz mabus na milori halafu kuna wale madereva wa IT unaweza kupaki gari upumzike hizo fujo zao 😹😹😹
Aisee udongo unalamba sana kwa kweli.Eeh alishafariki bana le super mubebez 😹😹
Yani nilikuwa naipenda insta kwasababu yake, nikiingia kwenye page yake nacheka.!!
Kuna siku nilimwambia Mange kasema tumbo lako kubwa eti umemmeza Keanu.!!
Alinichamba sina hamu 😂😂😂
Jadda inaonekana ww muoga sana.!!Hahaha yani huko highway madereva wa mabasi na malori Neno kukupisha kwao ni msamiati, wenyewe wanawaita madereva wa magari madogo eti wamama wa nyumbani, unakutana na mtu anaovertake yuko kwenye lane yako sasa uchague moja umpishe au akuvae uingie uvunguni 😀😀
Weeeh!! Tena IT ndio mna visa sijaona aisee.!!Hapo kwenye IT unatusingizia kwa kweli
Udongo unameza watu, tuishi kwa kupendana hatujui siku wala saa.!!Aisee udongo unalamba sana kwa kweli.
AiseeJadda inaonekana ww muoga sana.!!
Kuna siku nilikuwa nadrive night kali naenda mkoa, kuna sehemu inaitwa senjere kuna mlima lori lilikuwa mbele yangu.!!
Kila nikiliomba nipite linanigomea linacheza cheza babarabara nzima.!!
Ghafla likaniruhusu ila likawa halina utulivu, sijatulia likaanza kurudi reverse halafu linarudi zigzag weeehh.!! Nikasema hapa tayari dude lishabuma hili bila kutumia akili ya ziada naondoka.!!
Nikaanza kulivizia lilivyoingia kushoto nyingi nikanyoosha goti speed niliyotoka nayo haina kugeuka wala kuangalia pembeni.!!
Ile siku niliandika kwenye diary sikuamini km ningechomoka.!!
Njoo siku tutafute trip hata za chalinze tufanye fujo. Nimemiss vurugu za road trip siku nyingi sijagombana na trafic 😹😹
Mbona kama unanitamanisha sasa.Weeeh!! Tena IT ndio mna visa sijaona aisee.!!
Hapa nimetamani kuongea kwa voice note nikucharule 😹😹😹
Kuna siku nilikuwa nampeleka dogo shule mkoa, nilikuwa mdogo mdogo.!
Mbele si nikaona IT imeniuzia kicheche nilimind, nikapotezea.
Nikaja kukutana naye mbele nikamuovertake si akafanya ligi akanichomekea tena.!!
Nikasema manyoko wewe usintanie gari yenyewe ya boss unaipeleka Congo huko ngoja nikuonyeshe.!! Nikapaki pembeni nikamwambia dogo hamia seat ya nyuma nimuonyeshe kibuyu huyu ananizoea.!!
Nilinyoosha goti na mimi nikamchomekea aliyumba nikaona anapeleka gari kichakani kuchimba dawa 😂😂😂
Akajitahidi akachomoka akarudi road nikamsubiri mbele akanipita kwa speed na honi za kukubali yaishe nikacheka sana’a nikaona kajifunza hataki ugomvi huyu.!!
Nilichofanya na mimi nikamuovertake kwa speed nikashusha kioo nikampa middle finger alishangaa kuona ni demu akacheka akanipa salute mi huyo nikamuachia manyoya.!! 😹
Tukaja kukutana tena check point waliponisimamisha kwa muda wananiuliza unaenda wapi mbona unaendesha gari km limeibiwa? Halafu ni mdada?
Wakanikagua yule jamaa anacheka, anasema niwaambie ulichokifanya?? Nikamkata jicho la “mwana ukome” walivyoona niko na mwanafunzi wakaniruhusu.!!
Yule jamaa wa IT akaniita “Oyaah road trip Queen nisubiri” nikamsonya nikamwaga moto hatujaonana tena mpk naingia Mbeya.!!
Ilikuwa naondoka 😂😂😂Aisee