Mistari yetu ya njano ni mipana kiasi na siyo miembamba kama hiyo
Wee changudoa unajulia wapi dhahabu! Subiri wakutoe mavi upate kuishi!Eti rangi ya dhahabu..!!
Tetea hoja yako usijifiche kwenye matusi, that proves you’re uneducated and uncivilized monkey tryna argue like uko na brain.... kajifunze kujadili mambo na intellectuals.
Fathead uncircumcised baboon.
Wee changudoa unajulia wapi dhahabu! Subiri wakutoe mavi upate kuishi!
Adabu kampe mama yako kwanza maana baba yako humjui!Hoja ni rangi sio dhahabu we mbwiga, tulia ujifunze.... kichwani umejaa uharo huna adabu.
Fathead uncircumcised son of a bitch.
mkuu zipo mtaani kwetu! Ngoja nitazipiga picha zikiwa mlingotini! niwaletee!Hero,
Sasa hapo kosa la nani ? La msanifu au serikali? Je hizo picja umezipata wapi ? Tika kwa wahusika au watu tu tofauti wenye kusanifu hizo bendera ?
Kama zote umezipata serikali kuu hapo tuna paswa kuhoji na kupewa muafaka, ila kinyume na hapo wewe ndio mwenye makosa.
Hivi kumbe maji ya bahari yana rangi ya bluu?ukiona kijani kimekolea ujue ni msimu wa vuli/masika...vinginevyo ni kiangazi
njano iliyokoleaaa ni msimu madini yamepatikana kwa wingi na hata TRA wakatangaza ongezeko la patoo
Bluee...ikikolea jua bahari maji yake ni safi na angavu ..vinginevyooo maji ya mito yameingia kwa wingi yakaleta tope baharini
Nyeusi ...naona haijabadilika sanaaa...
mwisho "uchanganyaji wa rangi ni taaluma hivyo watakiwa kuheshimiwa"
Ni kweli lakini ni kimpangilio wake tu. Ila, hiyo rangi ya chungwa imekuwa nyembamba mnoNi hizi hizo, issue ni ukiondoa hizo zingine picha ya 2 ndio rangi halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa ni elimu! Zamani bendera ya taifa ilitungiwa hata wimbo wanafunzi tuliuimba tukikimbia mchakamchaka, ki rahisi tu tulizijua rangi muafaka!Hero,
Sasa hapo kosa la nani ? La msanifu au serikali? Je hizo picja umezipata wapi ? Tika kwa wahusika au watu tu tofauti wenye kusanifu hizo bendera ?
Kama zote umezipata serikali kuu hapo tuna paswa kuhoji na kupewa muafaka, ila kinyume na hapo wewe ndio mwenye makosa.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya FirauniNimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania.
Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au nanyi mnaona mauzauza!View attachment 1323844View attachment 1323845View attachment 1323846View attachment 1323847
Weka ya marekani hapa mpaka kwenye mtumba zipo na zinazeeka na rangi zakeKumbuka kung'aa kwa bendera kunatokana na upya na kufifia kunatokana na ukongwe, then material ya rangi iliyotengenezewa, pia kiwanda kilichotengeneza.
Mwisho je huko mtaani wote waliopachika hizo bendera waligaiwa siku moja?
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Tatizo mki_download mnazipeleka photoshop kwa kuzng'arisha kumbe ndiyo mnaharibu.hiyo blue ipo sawa mkuu?
Chief, mtu anaetengeneza mwenyewe na anaeagizia atengenezewe ni vitu viwili tofauti. Then nchi ambayo ina uchumi mzuri hata quality ya vitu vyao usilinganishe na third world countries bado hujaweka mambo ya 10% kwa wazabuni wanaopatiwa tenda ya kutengeneza.Weka ya marekani hapa mpaka kwenye mtumba zipo na zinazeeka na rangi zake
Sent using Jamii Forums mobile app