Poa, fanya hivyo.mkuu zipo mtaani kwetu! Ngoja nitazipiga picha zikiwa mlingotini! niwaletee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa, fanya hivyo.mkuu zipo mtaani kwetu! Ngoja nitazipiga picha zikiwa mlingotini! niwaletee!
Hata serikali yenyewe haina uhakika na rangi za bendera yake. Ukitaka kuamini hilo angalia kwa makini na kulinganisha rangi ya blue kwenye bendera na coat of arms (alama ya bibi na bwana) utagundua kwamba zinatofautiana. Hata kwenye website ya serikali kasoro hiyo ipo tena kwa uwazi kabisa. Hata sura za bwana na bibi kwenye coat of arms ubadilika badilika bora hata wachoraji tofauti wa katuni za Lodi Lofa na Madenge muda wote upatia sura zao.View attachment 1330146
Hii ndio rangi halisi ya bendera ya Tanzania.
View attachment 1330149
Na siyo rangi tofauti na uyakayoiona hapo.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hata chadema hawaelewiHii nchi ni vurugu tu hata CCM wenyewe hawaeleweki kama ni wanafuata siasa za ujamaa au kibepari. Siku wakijua wanafuata siasa gani watapata muda wa kushughulikia rangi ya bendera....BTW hiyo bendera rangi zake ni blue, nyeusi, njano na kijani au ni blue, nyeusi, dhahabu (gold) na kijani?