Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

Mishangazi ipo.. Me enzi hizo nikiwa kijana niliwah kupata mshangazi pale sinza.. Ulitokea tu kunielewa maana ktk kampan yetu.. Yetu tulikuwa wanne.. Wenzangu wote wakaenda kununua hawa dada zetu wajasiliamali wa mbususu, me nlikuwa sina pesa nkavunga pale kwnye meza.
Ndipo MSHANGAZ ukaniomba kukaa na huo ndio ukawa mwanzo ya safar yetu..
ila alikuwa na wivu sana, kuna siku alinambia ataniua.. nikawa namkimbia mpaka tukapoteana tena.. cjui kama bdo yupo huko tz au vp
 
Niko hapa kusoma comments tu 😅

giphy 17.GIF
 
Back
Top Bottom