Mshangazi lazima uwe unajiweza kiuchumi kwelikweli,unaweza kutana nao kwenye cooperate gym,marathon huwa wanabaki kule nyuma wamevalia vi cap na raba za bei kali
Mshangazi lazima uwe na masters na safari za kwenda Europe au USA mara kwa mara
Unakuwa board members wa taasis kadhaa zisizopungua3
Mume mwenza kwa bahati mbaya awe katangulia mbele za haki kwa ajali au pressure.
Watoto wake wa 3 wapo kusoma ughaibuni.
Ukiwa unashiriki marathoni jitahidi kubaki kule nyuma washike mkono kama unawasaidia hivi na story mbili tatu,usiwe mnyonge! Kwenye story zako onesha passport yako ina mhuri hata wa Slovakia ilihali ukiwa na wasiwasi kama hajawahi kufika.
Nitaendelea