Mshangazi halafu wa kiumeNgoja nikusaidie kuwaita
Cc. Mshangazi
Mshangazi dot com
Mshangazi mdogomdogo
Mshangazi nangai
Mshangazi2
NOTE: Hao ni wakiume
huo mashangaz unaojiuza,Mishangazi ipo.. Me enzi hizo nikiwa kijana niliwah kupata mshangazi pale sinza.. Ulitokea tu kunielewa maana ktk kampan yetu.. Yetu tulikuwa wanne.. Wenzangu wote wakaenda kununua hawa dada zetu wajasiliamali wa mbususu, me nlikuwa sina pesa nkavunga pale kwnye meza.
Ndipo MSHANGAZ ukaniomba kukaa na huo ndio ukawa mwanzo ya safar yetu..
ila alikuwa na wivu sana, kuna siku alinambia ataniua.. nikawa namkimbia mpaka tukapoteana tena.. cjui kama bdo yupo huko tz au vp
Sijui Vanessa yupo wapi jamani. Corner imekufa doooMishangazi ipo.. Me enzi hizo nikiwa kijana niliwah kupata mshangazi pale sinza.. Ulitokea tu kunielewa maana ktk kampan yetu.. Yetu tulikuwa wanne.. Wenzangu wote wakaenda kununua hawa dada zetu wajasiliamali wa mbususu, me nlikuwa sina pesa nkavunga pale kwnye meza.
Ndipo MSHANGAZ ukaniomba kukaa na huo ndio ukawa mwanzo ya safar yetu..
ila alikuwa na wivu sana, kuna siku alinambia ataniua.. nikawa namkimbia mpaka tukapoteana tena.. cjui kama bdo yupo huko tz au vp
Unachotafta wewe ni tuanze kuongea vitu chafu we'll end up being horny, shauri yako 😌
Ina wivu mkali sana..plua majotoooMishangazi ipo.. Me enzi hizo nikiwa kijana niliwah kupata mshangazi pale sinza.. Ulitokea tu kunielewa maana ktk kampan yetu.. Yetu tulikuwa wanne.. Wenzangu wote wakaenda kununua hawa dada zetu wajasiliamali wa mbususu, me nlikuwa sina pesa nkavunga pale kwnye meza.
Ndipo MSHANGAZ ukaniomba kukaa na huo ndio ukawa mwanzo ya safar yetu..
ila alikuwa na wivu sana, kuna siku alinambia ataniua.. nikawa namkimbia mpaka tukapoteana tena.. cjui kama bdo yupo huko tz au vp
"Mishangazi ipo ila imekua overrated sanaMpaji Mungu anao ushuhuda.
Kwahiyo mama fua sio shangazi?😭😭😭"Mishangazi ipo ila imekua overrated sana
Wengine sio mashangazi ni wanawake waliokosa option mfano mtu anamdate mama ntilie, mama muuza mihogo & vifurushi, mama mfua na mpika vitumbua" kuna mzee aliwahi nambia hvo
😂😂Ngoja nikusaidie kuwaita
Cc. Mshangazi
Mshangazi dot com
Mshangazi mdogomdogo
Mshangazi nangai
Mshangazi2
NOTE: Hao ni wakiume
Mbona Kama mwandiko wa kufosi Anko ?Kwema shouga yangu, mpya?
Huyo ni hustler mwenzakoKwahiyo mama fua sio shangazi?😭😭😭
usingejibu huu uzi ningekukodia mgambo,...haya twambie BICHWA KOMWE yuko wapi...?🤔🤔Ahahhaa ni kweli mashangazi wapo na ni kilevi kama vilevi vingine ikiwepo pombe, kubeti na usingizi..
Mi ukichukua simu yangu utakutana text za ajabu ajbu kutoka kwa hawa mashangazi japo mbele za watu tuna danganyana kuitana dada na kaka..
Mwongine ataniita mwanangu kabisa ila linapokuja suala la show huwa hatuangaliani kama kaka na dada...
Kuna huyu mmoja mpaka kahama mtaa kisa kutaka tuwe huru.
Sifa ya mshangazi awe anajiweza. Yaani awe independent one .
Na mashangazi unapata vipi..
Unajua hawa watu ili uwateke acha kujikuta wewe ni mtoto..
Mfano mm kuna siku nilituma sms ya hovyo makusudi tsap nilipoona ka blue tik nikajifanya kufuta..
Akawa anauliza hii sms mbona umefuta..
Akawa anataka kujua nimeandika nn as if kama hajasoma hivi .
Basi katika hali ya kuzungusha zungushana mwisho akaanza kufunguka mwenyewe na kuuliza kama naweza kufanya yale madude...
Nikamwambia apana ila najaribu na hapo ndo akutaka kuamini kabisa.
Basi jpili flani akapanga aje ila alivoona mazingira ya hom akasema itakua ngumu maana kwa jinsi alivyo dah...
Basi bana akanielekeza kwake nikawa naenda kila jpili aiseee ilikua hatare sana...
Mserereko sio mambo yangu kiongoziKizuri kula na nduguzo