Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

Ahahhaa ni kweli mashangazi wapo na ni kilevi kama vilevi vingine ikiwepo pombe, kubeti na usingizi..

Mi ukichukua simu yangu utakutana text za ajabu ajbu kutoka kwa hawa mashangazi japo mbele za watu tuna danganyana kuitana dada na kaka..

Mwongine ataniita mwanangu kabisa ila linapokuja suala la show huwa hatuangaliani kama kaka na dada...

Kuna huyu mmoja mpaka kahama mtaa kisa kutaka tuwe huru.
Sifa ya mshangazi awe anajiweza. Yaani awe independent one .

Na mashangazi unapata vipi..
Unajua hawa watu ili uwateke acha kujikuta wewe ni mtoto..

Mfano mm kuna siku nilituma sms ya hovyo makusudi tsap nilipoona ka blue tik nikajifanya kufuta..
Akawa anauliza hii sms mbona umefuta..
Akawa anataka kujua nimeandika nn as if kama hajasoma hivi .

Basi katika hali ya kuzungusha zungushana mwisho akaanza kufunguka mwenyewe na kuuliza kama naweza kufanya yale madude...

Nikamwambia apana ila najaribu na hapo ndo akutaka kuamini kabisa.
Basi jpili flani akapanga aje ila alivoona mazingira ya hom akasema itakua ngumu maana kwa jinsi alivyo dah...

Basi bana akanielekeza kwake nikawa naenda kila jpili aiseee ilikua hatare sana...
Wee ni muongooo, 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom