morees JF-Expert Member Joined Apr 21, 2019 Posts 288 Reaction score 619 Aug 2, 2023 #21 Ni kukamuliwa, kukamuliwa, ng'ombe zote zikamuliwe iwe jike au dume mkubwa au mdogo lazima akamuliwee ...
Ni kukamuliwa, kukamuliwa, ng'ombe zote zikamuliwe iwe jike au dume mkubwa au mdogo lazima akamuliwee ...
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 3,050 Reaction score 5,420 Aug 6, 2023 #22 1500×15M (Nyumba) = 22.5B kwa mwezi, 22.5B÷500k = 45k Kama serikali itaamua kutumia hii kodi bas itaajir watu elf 45 kwa mshahara wa laki 5..
1500×15M (Nyumba) = 22.5B kwa mwezi, 22.5B÷500k = 45k Kama serikali itaamua kutumia hii kodi bas itaajir watu elf 45 kwa mshahara wa laki 5..
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 16, 2023 #23 Mtuflani Official said: Wanataka kuongeza mishahara ya wabunge... Click to expand... Wameongeza?
M Mbuli yaza JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 711 Reaction score 683 Nov 16, 2023 #24 Pac the Don said: Tozo zinaenda kweny maendeleo mengine, umeme hatuna maji kweny vyanzo! Over Click to expand... Ona aibu,mvua zimenyesha zaidi ya mahitaji lkn shida Iko palepale lzm Kuna ajenda nyingine.
Pac the Don said: Tozo zinaenda kweny maendeleo mengine, umeme hatuna maji kweny vyanzo! Over Click to expand... Ona aibu,mvua zimenyesha zaidi ya mahitaji lkn shida Iko palepale lzm Kuna ajenda nyingine.