Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

Ni kukamuliwa, kukamuliwa, ng'ombe zote zikamuliwe iwe jike au dume mkubwa au mdogo lazima akamuliwee ...
 
1500×15M (Nyumba) = 22.5B kwa mwezi, 22.5B÷500k = 45k Kama serikali itaamua kutumia hii kodi bas itaajir watu elf 45 kwa mshahara wa laki 5..
 
Back
Top Bottom