Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Unaelewa maana ya biohazardDuh mfuko una alama ya BIOHAZARD kunani ndugu?
Serikali ikizitengenezea mazingiraZikiwezeshwa na nani
😂😂Yamkini sijaelewa na siwezi kujifanya imeelewa mkuu.
Msaada kwa aliye elewa
Naelewa ndio maana nimeuliza ndugu, ukijibu ni kitu xxxxx sio mbayaUnaelewa maana ya biohazard
Risk to hukan health,,,,ndo maana yale mamifuko ya kuwekea uchafu huitwa biohazard bagsNaelewa ndio maana nimeuliza ndugu, ukijibu ni kitu xxxxx sio mbaya
okay pamojaRisk to human health,,,,ndo maana yale mamifuko ya kuwekea uchafu huitwa biohazard bags
kula shule hyo mkuuokay pamoja
Mkuu huu mkono wako mbona unaonekana mteke mteke sana? Mkono hauna hata mishipa iliyosimama? Punguza kula chips zege.Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!…..
Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja.
NB: Nawaza kwa sauti
Mfano hako ka bundeji na kimfuko cha kuchukulia sample.
Ujue mkuu me nimeuliza kunani nikimaanisha ugonjwa au tatizo gani linakusumbua? mambo ya Biohazard nayaelewa maana nimepiga BSc. BLS(Biotechnology & Lab Science)kula shule hyo mkuu
au we ulikua una maoni gan
Hyo si bag ya kuchukulia sample so lazima wa lable hivo kwamba sample yyte ile ya mgonjwa ni infectious inaweza kua ni source ya kuambukiza wengine kama hawatachukua tahadhari kama kushika na gloves au IPCUjue mkuu me nimeuliza kunani nikimaanisha ugonjwa au tatizo gani linakusumbua? mambo ya Biohazard nayaelewa maana nimepiga BSc. BLS(Biotechnology & Lab Science)
Kuna watu ambao vein ziko visible kwa nje na wengine hazionekani!Mkuu huu mkono wako mbona unaonekana mteke mteke sana? Mkono hauna hata mishipa iliyosimama? Punguza kula chips zege.
anha dah! Nikajua ni wewe mkuu medulla inawaza mambo mengi 😀Hyo si bag ya kuchukulia sample so lazima wa lable hivo kwamba sample yyte ile ya mgonjwa ni infectious inaweza kua ni source ya kuambukiza wengine kama hawatachukua tahadhari kama kushika na gloves au IPC
😂😂pamojaanha dah! Nikajua ni wewe mkuu medulla inawaza mambo mengi 😀
Uzi tayaruli