Hivi Hospital za Serikali Kwanini hutu tudude huwa tunawashinda?

Hivi Hospital za Serikali Kwanini hutu tudude huwa tunawashinda?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!…..
Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja.

NB: Nawaza kwa sauti

Mfano hako ka bundeji na kimfuko cha kuchukulia sample.
2248ED82-2759-4306-B0C4-7F6E3CBAE393.jpeg
 

Attachments

  • 1A2995FA-1E07-497B-80EC-CF7F2FCD17A4.jpeg
    1A2995FA-1E07-497B-80EC-CF7F2FCD17A4.jpeg
    301.4 KB · Views: 24
Ila kweli, usipokuwa na tissue paper ya kukifunika ni soo kupita mbele za watu umebebelea kikopo kiko wazi wazi.

Afadhali hata wangekuwa wanatupatia na tissue paper.
 
Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!…..
Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja.

NB: Nawaza kwa sauti

Mfano hako ka bundeji na kimfuko cha kuchukulia sample.
Mkuu huu mkono wako mbona unaonekana mteke mteke sana? Mkono hauna hata mishipa iliyosimama? Punguza kula chips zege.
 
Ujue mkuu me nimeuliza kunani nikimaanisha ugonjwa au tatizo gani linakusumbua? mambo ya Biohazard nayaelewa maana nimepiga BSc. BLS(Biotechnology & Lab Science)
Hyo si bag ya kuchukulia sample so lazima wa lable hivo kwamba sample yyte ile ya mgonjwa ni infectious inaweza kua ni source ya kuambukiza wengine kama hawatachukua tahadhari kama kushika na gloves au IPC
 
Mkuu huu mkono wako mbona unaonekana mteke mteke sana? Mkono hauna hata mishipa iliyosimama? Punguza kula chips zege.
Kuna watu ambao vein ziko visible kwa nje na wengine hazionekani!
So ni variation ya watu hata haina uhusiano na chakula
 
Hyo si bag ya kuchukulia sample so lazima wa lable hivo kwamba sample yyte ile ya mgonjwa ni infectious inaweza kua ni source ya kuambukiza wengine kama hawatachukua tahadhari kama kushika na gloves au IPC
anha dah! Nikajua ni wewe mkuu medulla inawaza mambo mengi 😀
 
Back
Top Bottom