Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi.

Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye ndiye mwanasiasa bora?

Mwigulu Nchemba ama Nape Nauye??
Mwanasiasa mzuri ndani ya CCM ni yule ambaye amekufa. Yaani wanaCCM hai kwa asilimia kubwa sivyo mnavyowaona.

There is a beast inside them.

Sijamaanisha mwendazake
 
Back
Top Bottom