Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah Yani nilivyo ona quote, Nika jua una sema hii hapa 🤓.Ramani nilii misplace naendelea itafuta, nikiikosa nyumba ikiisha nitawawekea hapa
Tiketi ya kuzimu unaijua wewe watu wanatapeli kila siku viwanja tena ukijichanganya unauwawa kabsa achana na wenye pesa na mamlaka huoni hata kesi zinazoibuliwa na slaa na hzo ni chache sehemu kama masaki na mbweni ukizubaa unakuta unaambiwa hilo eneo atajengewa mkuu wa majeshi mstaafu na serikaliHuyo mtu bado hajazaliwa Mkuu.
Sio kila kete ni yakugusa, zingine ni tiketi ya kuzimu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu huku jf alishawahi kuweka Uzi analalamika. Yeye kajenga nyumba yake alafu kaizungushia fensi. Ila jirani yake kaja kujenga ghorofa, akiwa kibarazani kwake anayaona yote yanayoendelea kwa jamaa [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3]We endelea kukesha JF ukijifanya mwanafilosofia.
Nitashukuru sanaHii ramani naendelea kuitafuta sikumbuki niliiweka kwenye fail lip, nilihamisha vitu kutoka kwenye sim to pc sasa natafuta bado sijafanikiwa ila nitaipata usijali
Tiketi ya kuzimu unaijua wewe watu wanatapeli kila siku viwanja tena ukijichanganya unauwawa kabsa achana na wenye pesa na mamlaka huoni hata kesi zinazoibuliwa na slaa na hzo ni chache sehemu kama masaki na mbweni ukizubaa unakuta unaambiwa hilo eneo atajengewa mkuu wa majeshi mstaafu na serikali
Picha ya maudhui tafadhaliHabari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Njoo nkuuzie kiwanja 350MMbweni ni hatari jamani, natamani kweli nami nikaishi huko