Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mungu akupe hitaji lako kama ulivyoomba, imekuwa kwako 😀Sina hata taa mkuu, huku nilipo tuna Tumia mwanga wa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akupe hitaji lako kama ulivyoomba, imekuwa kwako 😀Sina hata taa mkuu, huku nilipo tuna Tumia mwanga wa mwezi
Hebu leta ushahidi wa ku support hii hoja yako uchwara🤔.Ki IQ si sahihi kutaja jina la mtu yeyote ambaye kwenye mada yako hayupo na wewe karibu na hawezi kujitetea; pia ata tunapoanzisha nyuzi na kutaja majina ya watu ni makosa makubwa ya kiufundi
Hizo ni taaluma za watu 😀Hebu leta ushahidi wa ku support hii hoja yako uchwara🤔.
Au ndo uki kariri iq, una tamba nayo popote??
Kuwa serious wewe ! Nyumba ya mil 70 uilinganishe na ya mil 300 kweli? Au unafikiri hao wa mil 300 hawazijui hizo kampuni za ujenzi?Haina haja ya kuogopa,
Hiyo pesa unaweza kujenga nyumba ya kawaida ila ya viwango ( yenye muonekano mzuri sana )
Tafuta kampuni ya ujenzi nzuri ( Kampuni zipo nyingi sasa hivi na wanafanya kazi kwa ushindani mkubwa ),
Hiyo pesa wanakujengea nyumba ambayo hata hao wanaomiliki mahekalu watatamani nyumba yako hiyo ndogo.
Bruh hebu acha kupoteza muda na hizi porojo zako hao watu karibu kila siku huwa wanatajwa katika mijadala inayohusu utajiri na umiliki wa pesa na mali, kama ambavyo katika mijadala inayohusu siasa na uongozi wa nchi hii huwezi kukosa majina ya kina Kikwete na Makamba nk, ningekuwa nimewataja kwenye ishu tofauti na hizo kweli ningekuwa nimetoka nje ya mada ila hii mada imehusisha mambo ya utajiri na umiliki wa maliKi IQ si sahihi kutaja jina la mtu yeyote ambaye kwenye mada yako hayupo na wewe karibu na hawezi kujitetea; pia ata tunapoanzisha nyuzi na kutaja majina ya watu ni makosa makubwa ya kiufundi
Wakikufungulia mashtaka uchomoki, tuache mazoeaBruh hebu acha kupoteza muda na hizi porojo zako hao watu karibu kila siku huwa wanatajwa katika mijadala inayohusu utajiri na umiliki wa pesa na mali, kama ambavyo katika mijadala inayohusu siasa na uongozi wa nchi hii huwezi kukosa majina ya kina Kikwete na Makamba nk, ningekuwa nimewataja kwenye ishu tofauti na hizo kweli ningekuwa nimetoka nje ya mada ila hii mada imehusisha mambo ya utajiri na umiliki wa mali
Mkuu 70M kwa mbweni ni ndogo. Vifaa vya ujenzi naona vimechangamka bei. Yaani kwa Sasa hivi ukitaka tu kupaua bati za maana na mbao nzuri kwa nyumba ndogo ni milioni 13.Haina haja ya kuogopa,
Hiyo pesa unaweza kujenga nyumba ya kawaida ila ya viwango ( yenye muonekano mzuri sana )
Tafuta kampuni ya ujenzi nzuri ( Kampuni zipo nyingi sasa hivi na wanafanya kazi kwa ushindani mkubwa ),
Hiyo pesa wanakujengea nyumba ambayo hata hao wanaomiliki mahekalu watatamani nyumba yako hiyo ndogo.
Ndio utaelewa kwanini Mungu aliruhusu Tofauti za wanadamu woote kuanzia familia unayozaliwa njoo, Rangi, Taifa, bara, Kabila nk..Huo ndio uelekeo wa hela zinazopigwa huko serikalini
Siku zote Watibeli tunabahati na zinalindwaMhhhh hiki kiwanja ulinunua mwaka gani? Una bahati mkuu.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mkuu 70M kwa mbweni ni ndogo. Vifaa vya ujenzi naona vimechangamka bei. Yaani kwa Sasa hivi ukitaka tu kupaua bati za maana na mbao nzuri kwa nyumba ndogo ni milioni 13.
Kwa uzoefu wangu kwa maisha ya sasa akiwa na 180m alafu akapata kijana wa Uclas/ardhi University akashinda naye saiti anatoa kitu kizuri. Vinginevyo watoto wake Wataishi kinyonge sana na hapo akumbuke haishii kwenye nyumba kuna magari pia. Apambane tu hakuna namna nina uhakika ataweza ajipe moyo.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Uza hio plot nenda kiluvya.
Au jenga ka gorofa kakishkaji pangisha
Basi wangeshawafungulia mashitaka watu wengi sana, au unadhani wakipita humu mitandaoni hawaoni majina yao yakitajwa karibu kila siku, hata wao wenyewe sidhani kama wanachukia kutajwa kwa mazuri au kutumika kama mifano kwenye mada zinazohusu utajiriWakikufungulia mashtaka uchomoki, tuache mazoea
Ulishawahi kujiuliza kwa nini vituo huwa vinatozwa faini au kufungiwa, kutokana na maudhui fulani? waongee wengine mmiliki awajibishwe? Kuna mengi hufanyika ambayo wewe huwezi kujua zaidi ya mmiliki wa forum. Mtu aliye elimika hawezi kutaja taja majina ya watu hovyo.Basi wangeshawafungulia mashitaka watu wengi sana, au unadhani wakipita humu mitandaoni hawaoni majina yao yakitajwa karibu kila siku, hata wao wenyewe sidhani kama wanachukia kutajwa kwa mazuri au kutumika kama mifano kwenye mada zinazohusu utajiri
Kama kuna sheria nimevunja iweke hapa, mimi ninachojua ni kosa kumtaja mtu kwa mabaya au kwenye tuhuma za kutenda kosa fulani bila kuwa na ushahidi, hapo ana haki ya kukushitaki kwa sababu unakuwa umemchafua ila mimi hakuna mahali nilipomchafua
Acha porojo weka hapa hicho kifungu cha sheria nilichovunja
njoo nikupe hiki kiwanja kwa milioni 25 tu .....0759170794Mkuu embu fungua hii code bas tupate kitu😒 dar bila 100M hupat uwanja wa maana la sivyo utaishi uswahilini
njoo nikupe kingine hiki kiwanja kwa milioni 25 nipigie 0759170794Zungusha uzio wawe wanapaki hayo madungu sijui nini
Mkuu sio kila aliejenga hapo ni mwizi hapana kuna watu wako nje wanahangaika usiku na mchana na wanaweka hadi 4m/m ili wajenge hapo
Hiyo dhana ya wote mafisadi sio kweli halafu nashangaa mbongo umesahau uchawi
Amua moja niuzie au waegeshe magari yao
Kujenga watu wengine inawachukua hata miaka 10 ila akimaliza ukaona kwa mara ya kwanza lazima uanze na Ramli zetu ooh jizi kumbe amepambana miaka 10
Wapo mafisadi na majizi ila sio wote maana hata wewe ungeweka malengo ya miaka 15 mbona ungepasua tu
Tatizo lenu mnataka paap paap
Hivi chanika wanaishi watu wa hali ya chini sana, mbona hata penyewe pananyumba nzuri tu.Kiwanja chako kina ukubwa Gani kiongozi?
Kama itakupendeza baada ya kutaja ukubwa wake na utahitaji pesa ngapi, basi tunaweza kuyajenga ukaenda chanika tu mkuu!!
Kiwanja kisafi na minazi hiyo, kinaonekana karibu na bahari kabisa haponjoo nikupe kingine hiki kiwanja kwa milioni 25 nipigie 0759170794
View attachment 2959539