Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Haitafanana na kiwango cha nyumba za mtaa huu
Ukijenga kama hii hata wewe utaonekana mtu kwenye watu,

Vyumba vichache ila muonekano wa maana
Img_2024_04_10_14_57_32.jpg
 
Ulishawahi kujiuliza kwa nini vituo huwa vinatozwa faini au kufungiwa, kutokana na maudhui fulani? waongee wengine mmiliki awajibishwe? Kuna mengi hufanyika ambayo wewe huwezi kujua zaidi ya mmiliki wa forum. Mtu aliye elimika hawezi kutaja taja majina ya watu hovyo.
Hebu andika haya mambo kisomi na kwa mujibu wa sheria usiweke mihemko na mawazo yako binafsi, siyo unaleta habari za oo sijui kiIQ mara mtu aliyeelimika na blah blah kibao, ni kanuni gani inayosema hayo
 
mnatutamanisha , sema kama humiliki viwanda, au makampuni, au serikalini kama hauko kwenye kada yenye mshahara mnono , hautathubutu kujenga.
Yeah kuna mansion moja kule kwa samia asee hadi nilitamani nigonge geti, niingie nikampigie salute mwenye ule mjengo sijui ni wa nani asee, ile lami ya kule chini baharini wakipaweka vizuri rodeo drive hii hapa asee
 
Kaka Mimi sija ulizia kiwanja popote, nili taka kuona ramani ya mkuu luckyline tu.

Beside nataka angusha kidude flani hivi, so nataka nicheki kitu Cha kuni fanya niji tathimini😁.

Beside huko bunyokwa SI uchawini kabisa 😂 Eyce
lakin kaka c ulisema we ni jobless hueleweki, watu mnatuchora sana 😂
 
Halafu huu ujinga mkiwa mna jadiliana, una kimbilia mambo ya PhD Ume Anza lini??.

Mbona watu wengi wenye mafanikio katika sekta baadhi, Hawana hivyo vitu- na still Wana wanyoosha katika nyanja Fulani??

Mkumbushe kuwa hata 'honorary PhD' nayo pia inaitwa ni 'PhD'.

Hata hivyo, siyo kila mwenye Doctorate PhD ana mafanikio (kifikra au kiuchumi). 😎

-Kaveli-
 
Mjomba kungekuwa na mada ya kuhitaji uchambuzi na hoja nzito nakuhakikishia tungekesha hapa, ila kwenye hii mada umejikanyaga sema unaamua kuficha aibu ya kuumbuka kwa kuleta mambo ya phd na ubongo wa kenge, we jibu kwanza swali langu pale juu kisha tuendelee na mada

Jadda Pinket mzee wa ligi..... samaleko mkuu 😎

-Kaveli-
 
Jadda Pinket mzee wa ligi..... samaleko mkuu 😎

-Kaveli-
Huwa nashangaa sana pale watu wawili wanapobishana, halafu mmoja ndiye anayeonekana mbishi, mkuu huyo angekuwa hapendi ligi tusingefika hapa
 
Kaka Mimi sija ulizia kiwanja popote, nili taka kuona ramani ya mkuu luckyline tu.

Beside nataka angusha kidude flani hivi, so nataka nicheki kitu Cha kuni fanya niji tathimini😁.

Beside huko bunyokwa SI uchawini kabisa 😂 Eyce
Ramani nilii misplace naendelea itafuta, nikiikosa nyumba ikiisha nitawawekea hapa
 
Back
Top Bottom