Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Kama huna thesis yoyote, hoja nzito utaweza kweli, au uchambuzi wa mada nzito utaweza kweli?
Mjomba kungekuwa na mada ya kuhitaji uchambuzi na hoja nzito nakuhakikishia tungekesha hapa, ila kwenye hii mada umejikanyaga sema unaamua kuficha aibu ya kuumbuka kwa kuleta mambo ya phd na ubongo wa kenge, we jibu kwanza swali langu pale juu kisha tuendelee na mada
 
Naona umerudi; tani moja ya kokoto ya 3/4 inakuwa na vijiwe vingapi?
 
Nasema hivi watu kama kina Mo na Bakhresa, wanashindwa kumiliki maeneo ya ekari kumi na zaidi nje ya mji, jibu hili swali kwanza
We unaona ni sahihi kutaja majina ya watu? ; ndio maana nikawa nauliza maswali ya kupima IQ kwanza
 
Si unaona sasa unavyojikanyaga kuna kosa gani kutumia mifano ya watu maarufu kama hao, au ulitakaa nikutajie majina ya matajiri ambao mimi nawafahamu ila wewe huwafahamu, bro leo utasema umetoa wapi habari za wanyama pori kwenye maeneo ya watu
 
Ki IQ si sahihi kutaja jina la mtu yeyote ambaye kwenye mada yako hayupo na wewe karibu na hawezi kujitetea; pia ata tunapoanzisha nyuzi na kutaja majina ya watu ni makosa makubwa ya kiufundi
 
Back
Top Bottom