Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Nazingua tu, beside nili wahi enda kwa Jamaa yangu kajenga kinyerezi kanisani kule.

Aisee Kuna midude ya maana halafu ni Kama Wana test mitambo tu😂.

Watu wame shusha mijengo ya kwenda, ule mtaa wao sio Poa kabisa.
Kwa vichenchi vyetu hapafai kuunga unga 😁.
Nahisi kina Extrovert na Jadda Wana pajua labda!
Ile kinyerezi wanapaita kwa mbunge kuna mijengo ya watu utadhani ni majengo ya halmashauri ila barabara sasa 🚮
 
Ndo maeneo wanaoishi maraisi wa nchi hii na viongozi wengine wakubwa wa mataifa mengine.

Zingatia neno MARAISI wa Tanzania na viongozi wengine wadogo wadogo wamejaa huko.
 
Sasa ndege binafsi na mbuga za wanyama vinahusiana nini, nenda kawaulize hao unaoona wana uwezo wa kumiliki ndege binafsi kwanini hawamiliki, au tayari una majibu yako kichwani
Ndio ujue kutofautisha sasa
 
Habari za Sabato Wakuu!

Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.

Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.

Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.

Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.

Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.

Santeni
We Jenga huko uwapelekee mkeo wa mkule nyama
 
Kutofautisha nini sasa mbona kama umebadili mada, mbuga za wanyama na ndege binafsi vinahusiana nini, hebu fafanua vizuri hapo
Jibu umeshalipata ila unajaribu kuruka ruka tu
 
Back
Top Bottom