Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi miaka ile ya 2005 nikawa nimeuza nyumba moja maeneo ya arusha nikaja kununua viwanja vinne JKT beach plot nilichekwa sana enzi zile. Kulikuwa por tupu. Lakin hesabu zangu ni kuwa mbweni jkt ndio eneo Dar lililo karibu na lenye beach so soon kutakuwa moto. Namshukuru Mungu aisee. Kuna eneo lingine watu hawajustuka soon wataanza kuongea. Kijana wetu wa Leo unajiona wapi miaka 10 ijayo ukijiangalia leo. Why don't u start today guys. Kila kitu kiko mbele yako anzia ulipo Mungu anabariki ni hakika.
Acha kabisa unaona maisha ndo haya...kikubwa nyumba nzuri safi na familia ya enjoy hivyo vitu...Mungu ni mwema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo dada mbishi. Ngoja aje hapa
Kila mwaka kazi kubadili ramani ya nyumba itakavyokuwaHuku kumiliki kiwanja sio issue, balaa ni ujenzi. Nyumba zao si za kitoto.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtoto wa kishua yule...
Iko hivi Mkuu, wapiga madili wa nchi hii walishagawana maeneo yao ya kujenga, wale wa kipindi cha nyerere na kuanzia mwinyi wanakaa na wamejenga masaki na osterbay, late mwinyi na kuanzia kwa Mkapa wamejenga Msasani na Mikocheni, late Mkapa na Kikwete wamejenga mbezi Beach na ununio, hawa wa JPM na Mama ndo huko Mbweni sasa. Na wanajenga nyumba kwa miezi mitatu hadi finishing na miti wananunua iliyostawi kabisa hawataki shida.Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Iko hivi Mkuu, wapiga madili wa nchi hii walishagawana maeneo yao ya kujenga, wale wa kipindi cha nyerere na kuanzia mwinyi wanakaa na wamejenga masaki na osterbay, late mwinyi na kuanzia kwa Mkapa wamejenga Msasani na Mikocheni, late Mkapa na Kikwete wamejenga mbezi Beach na ununio, hawa wa JPM na Mama ndo huko Mbweni sasa. Na wanajenga nyumba kwa miezi mitatu hadi finishing na miti wananunua iliyostawi kabisa hawataki shida.
Andaa sio chini ya n
🏃🏻Andaa sio chini ya nusu Bilioni
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndio maana hana majibu ya matembeletembele
Duuh, hapo hata 200m unavutaKabla hujafika JKT
Mkuu miaka kama kumi iliyopita mbweni kuna watu walisukumizwa huko, yani kama wale waliopelekwa mabwepande, leo hii kanunue plot mabwepandeArdhi haijawahi kushuka thamani
Wakati Wazazi wa wengine wako busy kununua viwanja huko Mbweni Kwa bei ya shilingi 15,000 Kwa Ekari miaka ile Wazazi wetu baadhi walisema huko ni porini ati 😜
Jidanganye sasa kuwa hutazikwa na nyumba uone utavyoteseka sana kuishi miaka mingi hadi kukufuru kwanini haufi ilihali nguvu zitakuwa hazipo wala chapaa uzeeni [emoji23]Mtazikwa nayo??? Ila nyumba safi nzuri inavutia kurudi home..tumshukuru Mungu kwakweli...
Ujamaa ulileta umasikini kwa wengiHawa ingekuwa enzi zetu za ujamaa tungewatia kashkashi waeleze wamepata wapi hela za kujenga hayo mahekalu
Kama ilivyokuwa mikocheni mabonde ya mpunga mwaka 90 watu walikimbilia sinza na kijitonyamaMkuu miaka kama kumi iliyopita mbweni kuna watu walisukumizwa huko, yani kama wale waliopelekwa mabwepande, leo hii kanunue plot mabwepande
🤣Jidanganye sasa kuwa hutazikwa na nyumba uone utavyoteseka sana kuishi miaka mingi hadi kukufuru kwanini haufi ilihali nguvu zitakuwa hazipo wala chapaa uzeeni [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Haha dada angu nimekumiss siku hizi umekuwa kimya sana humu kulikoniNyumbani kwao Jadda huko..
Mdogo wangu njoo....
Maisha ya mwanadamu ni kitendawili. Fikiria mambo yako, fanya mambo yako, ishi maisha yako, mwabudu Mungu wako. Mengine hayakuhusu. Usilolijua ni usiku wa giza nene. Utapagawa.Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni