Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kwa huko kwako kupenda kusema kweli sijui haki, uza tu hicho kiwanja la sivyo utasaidiwa kuuza na pesa usipate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....wauza vitabu vya kijasusi mtandaoni tu, watibeli....pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira....
Mkuu embu fungua hii code bas tupate kitu😒 dar bila 100M hupat uwanja wa maana la sivyo utaishi uswahiliniMi miaka ile ya 2005 nikawa nimeuza nyumba moja maeneo ya arusha nikaja kununua viwanja vinne JKT beach plot nilichekwa sana enzi zile. Kulikuwa por tupu. Lakin hesabu zangu ni kuwa mbweni jkt ndio eneo Dar lililo karibu na lenye beach so soon kutakuwa moto. Namshukuru Mungu aisee. Kuna eneo lingine watu hawajustuka soon wataanza kuongea. Kijana wetu wa Leo unajiona wapi miaka 10 ijayo ukijiangalia leo. Why don't u start today guys. Kila kitu kiko mbele yako anzia ulipo Mungu anabariki ni hakika.
Aibu sanaa hahaaaNa ukijenga nyumba isiyoendana na zao, wanakuhamisha.
Ni kama Burka Arusha ....aiseehNa ukijenga nyumba isiyoendana na zao, wanakuhamisha.
....wauza vitabu vya kijasusi mtandaoni tu, watibeli....
weka namba ya simu watu wanunue hiko kiwanja
Mtazikwa nayo??? Ila nyumba safi nzuri inavutia kurudi home..tumshukuru Mungu kwakweli...
Ukifikia maamuzi ya kuuza kiplot chako nishtue nikinunue
Kwa huko kwako kupenda kusema kweli sijui haki, uza tu hicho kiwanja la sivyo utasaidiwa kuuza na pesa usipate.
Acha kabisa unaona maisha ndo haya...kikubwa nyumba nzuri safi na familia ya enjoy hivyo vitu...Mungu ni mwemaAlafu uwe na familia yenye upendo na utulivu sio poa
Mafisadi wengi wako huko
Ova
😀😀😀komaa maisha sio mashindano ila sikuhizi watu wana jenga nyumba nzuri
Ukiwa na ndugu wakike,au mtoto wa kike utamuweka kwenye risk.
Kuna mtu anatakankukupa 500M,upo tayari
Picha ya kiwanja plz kama sio kivule basi mvuti
Ila huko home pawe na amani, sio kabla ya kurudi unajiandaa namna ya kwenda kukabiliana na mashambulizi.Mtazikwa nayo??? Ila nyumba safi nzuri inavutia kurudi home..tumshukuru Mungu kwakweli...