Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa


Hapa nasubiri, nikiona picha halieleweki napiga kona goli. Kwa sasa nasubiri.
 
Iko hivi Mkuu, wapiga madili wa nchi hii walishagawana maeneo yao ya kujenga, wale wa kipindi cha nyerere na kuanzia mwinyi wanakaa na wamejenga masaki na osterbay, late mwinyi na kuanzia kwa Mkapa wamejenga Msasani na Mikocheni, late Mkapa na Kikwete wamejenga mbezi Beach na ununio, hawa wa JPM na Mama ndo huko Mbweni sasa. Na wanajenga nyumba kwa miezi mitatu hadi finishing na miti wananunua iliyostawi kabisa hawataki shida.
 

Nakubaliana na wewe 💯
 
Ardhi haijawahi kushuka thamani

Wakati Wazazi wa wengine wako busy kununua viwanja huko Mbweni Kwa bei ya shilingi 15,000 Kwa Ekari miaka ile Wazazi wetu baadhi walisema huko ni porini ati 😜
Mkuu miaka kama kumi iliyopita mbweni kuna watu walisukumizwa huko, yani kama wale waliopelekwa mabwepande, leo hii kanunue plot mabwepande
 
Mtazikwa nayo??? Ila nyumba safi nzuri inavutia kurudi home..tumshukuru Mungu kwakweli...
Jidanganye sasa kuwa hutazikwa na nyumba uone utavyoteseka sana kuishi miaka mingi hadi kukufuru kwanini haufi ilihali nguvu zitakuwa hazipo wala chapaa uzeeni [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nyumbani kwao Jadda huko..
Mdogo wangu njoo....
Haha dada angu nimekumiss siku hizi umekuwa kimya sana humu kulikoni

Mbweni siyo yote ni ushuani kuna mitaa ni uswahilini na viwanja bado vinapatikana kwa bei rafiki kidogo

Japo ni kweli watu wanajitahidi kujenga majumba ya kisasa kuna mtaa ukikatiza unaweza hisi uko beverly hills california
 
Maisha ya mwanadamu ni kitendawili. Fikiria mambo yako, fanya mambo yako, ishi maisha yako, mwabudu Mungu wako. Mengine hayakuhusu. Usilolijua ni usiku wa giza nene. Utapagawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…