Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi upo wewe mtoto wa kitambaa cha MezaWeka picha.
swissme
Na wewe tafuta kazi mpya uone raha yake, acheni majungu na maisha ya watuKuna mmoja alipata kazi jaman wootee waliomsaidia akawaona hawana maana,kuja kusalimia ndugu mpaka awe na nguo mpya,simu au pochi mpya kuja kuwakonga napo hakai sana anaaga na visababu mara ooh nina kikao mahali,mara nafatilia dili la hela sehemu.
Na wewe tafuta kazi mpya uone raha yake, acheni majungu na maisha ya watu
Siku zote mtu ukivuka hatua moja kwenye maisha na kuwaacha wale uliokua nao pamoja huishia kusema unalinga, sasa jamaa kavuka toka kutembea kwa mguu mpaka kutembelea matako lazima mseme ana linga,maana amesha wa over take tayari .....acheni majungu majungu mtu kuji keep busy na maisha yake ndio silaha ya maendeleo,Leo hii mnamsema hivyo siku akishuka tu akipanda daladala ndio hatokauka vinywani mwenu, eleweni jambo moja salamu sio lazima Bali kutunza heshimaKuna mkaka kanunua gari used ya kawaida tu lakin kabadilika jamani,,najiuliza angenunua yale magari mazuri haswa kama range ,bmw sijui ingekuwaje nahisi angepaa,,,,,,zamani alisalimia kila kila mtu sasa hivi hasalimii anajikweza sijui anaona kamaliza kila kitu ,,,,sasa si angeacha kuwa kusalimia tu toka zamani ,,kwanini ubadilike si watu lazima watakusemaa,zamani alijichanganya na watu sasa hivi sijui anajionaje sitaki kumhukumu aisee huwezi jua yaliyompata .
Maana kuna rafiki yangu walikuwa wanaongea sana na kuchangamkiana siku hizi siyaoni hayo kama hamjuii ahahahahah
Ni makosa kuendesha gari huku macho yako yakipepesa pepesa kwa wale unaowapita, yanaweza kukukuta, acha ushamba we kikongweKuna mkaka kanunua gari used ya kawaida tu lakin kabadilika jamani,,najiuliza angenunua yale magari mazuri haswa kama range ,bmw sijui ingekuwaje nahisi angepaa,,,,,,zamani alisalimia kila kila mtu sasa hivi hasalimii anajikweza sijui anaona kamaliza kila kitu ,,,,sasa si angeacha kuwa kusalimia tu toka zamani ,,kwanini ubadilike si watu lazima watakusemaa,zamani alijichanganya na watu sasa hivi sijui anajionaje sitaki kumhukumu aisee huwezi jua yaliyompata .
Maana kuna rafiki yangu walikuwa wanaongea sana na kuchangamkiana siku hizi siyaoni hayo kama hamjuii ahahahahah
Tumekazania majungu tuukinunua gari ukapita kitaa ukiwapa hi wadau lazima waseme unaringa ukifunga vioo ukapita kimya kimya ndio kama hivi....ila sijajua sisi waswahili tatizo letu ni nini?
Pole sana, ila ukweli una uma na ni upumbavu kunifananisha na mtoto kama HR 666Wewe na HR 666 mna akili sawa
Nani aliiba hii gari yangu ? Maana nimelitafuta sana
Nani aliiba hii gari yangu ? Maana nimelitafuta sana
Pole sana, ila ukweli una uma na ni upumbavu kunifananisha na mtoto kama HR 666
Acheni kujadiri maisha ya watu waliofanikiwa, eti ooh alipopata kazi hata kusalimia ndugu hakai sasa atakaaje wakati amepata kazi? Watu namna yenu hamna Mbele wa nyuma zaidi ya majungu majungu "eti kuja kusalimia ndugu lazima awe na pochi mpya,simu mpya na Nguo mpya" hahahahahaaa huo wako ni uswahili !!!
Naomba namba zake maana analinga kumbe gari lenyewe la wiziSi huyo jamaa aliyenunua gari used
Naomba namba zake maana analinga kumbe gari lenyewe la wizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kizuri zaidi hatutaacha kulinga ili muendelee kuongea,sisi kwetu raha tu twatembelea matako na used cars zetu na kama haitoshi kila tuvaacho mtakiita kipyaUkisikia yalaaa ujue limekupataView attachment 471990
Na ww Nunua BMW uone kama hatokusalimia..Kuna mkaka kanunua gari used ya kawaida tu lakin kabadilika jamani,,najiuliza angenunua yale magari mazuri haswa kama range ,bmw sijui ingekuwaje nahisi angepaa,,,,,,zamani alisalimia kila kila mtu sasa hivi hasalimii anajikweza sijui anaona kamaliza kila kitu ,,,,sasa si angeacha kuwa kusalimia tu toka zamani ,,kwanini ubadilike si watu lazima watakusemaa,zamani alijichanganya na watu sasa hivi sijui anajionaje sitaki kumhukumu aisee huwezi jua yaliyompata .
Maana kuna rafiki yangu walikuwa wanaongea sana na kuchangamkiana siku hizi siyaoni hayo kama hamjuii ahahahahah
Makonda kwa lugha yetu ni manyigu sasa hapo we unamaanisha makonda ganiZipo kwa makonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kizuri zaidi hatutaacha kulinga I'll muendelee kuongea,sisi kwetu raha tu twatembelea matako na used cars zetu na kama haitoshi kila tuvaachp mtakiita kipya